Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ila wajameni ujenzi una raha yake hasa pale mwanzonimwanzoni
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri. Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka kupaua mtindo wa kiduku sitaki mapaa manne nitapauaje naomba kama kuna mwenye ramani nzuri ya paa anisaidie
1 Reactions
10 Replies
747 Views
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Toa maoni yako
4 Reactions
11 Replies
756 Views
Habari naomba nipate wauzaji wa material ya terrazzo floor
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Never forget the ring beam. Never skip it either.no matter how broken. It's like a belt in your trousers 👖 or the elastic in your underwear 🤔. With them (it) things will fall apart. Your house is...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
RC LINDI, TELACK: MIRADI YA ELIMU IKAMILIKE KWA UBORA UNAOTAKIWA Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Habari wanajukwaa, Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)? Asanteni
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty? Hii putty ina ulazima gani wakuu?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo nimefanya window shopping kwenye moja ya kiwanda kikubwa cha mabati nimeshangazwa sana kukuta bati zimepanda bei sana! Sijui tunaelekea wapi na nn hatma ya hili. Bati ya gauge 30 leo hi ni...
14 Reactions
154 Replies
19K Views
Kabla hujaingia kwenye kundi la walio wengi wanaolalamika kuhusu ubora wa bati katika kutoboka,kushika kutu, kupauka kwa sababu ya maamuzi yao wenyewe au kupotoshwa na wauzaji wenye tamaa ya pesa...
10 Reactions
22 Replies
10K Views
Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
1 Reactions
3 Replies
455 Views
Habari wakuu, Tafadhali naomba mwenyevkujua dawa ya kupaka mbao nilizopaulia zisibunguliwe anitajie nikanunue. Naona mbao zilizopaulia zimeanza kuliwa. Asanteni sana
2 Reactions
35 Replies
4K Views
RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni...
35 Reactions
347 Replies
60K Views
Wadau wa ujenzi Naomba kuuliza kama kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 112 kama kinafaa kujenga gorofa la floor kwa idadi yoyote? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
7 Replies
433 Views
MBUNGE GULAMALI AHIMIZA USHIRIKIANO KATI YA WANANCHI NA JESHI LA POLISI UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI NKINGA, WILAYA YA IGUNGA Tarehe: 28 Februari 2025 📍 Mahali: Nkinga, Wilaya ya Igunga – Mkoa...
1 Reactions
3 Replies
375 Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza Shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo cha tiba mionzi pamoja na ununuzi wa vifaa tiba lililopo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda...
2 Reactions
6 Replies
381 Views
Back
Top Bottom