Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,188
2,465
Habari wakuu,

Tafadhali naomba mwenyevkujua dawa ya kupaka mbao nilizopaulia zisibunguliwe anitajie nikanunue. Naona mbao zilizopaulia zimeanza kuliwa.

Asanteni sana
 
I suffered the same issue, nilichokiona ni kuwa wale wadudu wako ndani kabisa na wamekuja na mbao, ni kama yule mdudu wa embe, ukisikia analia, ni amekuwa anatafuta way out.

Nimejaribu kupaka oil chafu, nasibiri nione
Hivi kumbe kuna wanaokuwa ndani ya mbao? Nimepata jibu sasa.
 
Yani wale unaosikia wakigegeda mbao, ni mdudu yuko ndani, anakula hadi akifika kwenye kutoboa ndo anatoka, ndo mana akishatoka shimo linakua empty.

Mantiki ya dawa ya mbao ilikua ni mbao ilale kwenye dawa, iingie hadi ndani iue wale lavas, but wahuni wanachovya wanatoa.
 
Asante sana mkuu. Sasa hapa hamna njia ya kuondokana na hii kero? Nikisikia mdudu analia nachukia sana
 
Ukishapaua ni shida ,
Kabla ya kupaua unazipanga mbao chini unamwagia oil chafu za juu iache ipenye hadi chini ziache baada ya siku 2 ziguze zilizokuwa chini ziwe juu mwagia tena oil chafu ziache baada ya siku 2 hizo mbao hazitaguswa na mdudu milele
 
Kwani zile mbao zinazouzwa treated dawa wanayotumia ni ipi?? Nadhani ukiipata hiyo inaweza kumaliza tatizo,
 
Oil chafu lita 20 uchanganye na lita 5 ya dizeli upake mbao yako haitaguswa.
 
Mafundi ni matozi wanaogopa kuchafuka
Mimi kwenye apartments zangu alikuja fundi na wenzie wawili. Akasema aaargh boss zina oil chafu hii sasa inakuwa ngumu itabidi uongeze pesa. Hakuna fundi anapiga mbao zikiwa hivi. Nikawaambia kesho wife atawapigia simu ye ndo atakuwepo.

Walipoondoka nikapiga simu kwa fundi mwingine. Nikamuuliza unaweza piga kazi mbao zenye oil chafu? Akasema Boss hilo swali gani. Unataka nianze lini? Nikamwambia nenda asubuhi kaonane na wife myajenge. Akaenda asubuhi. Mchana nikaambiwa anapiga kazi kwa furaha tu. Wale wengine jioni wakapiga simu kuuliza boss mbona kimya. Nikawaambia wife alipata fundi ambaye anaweza piga kazi na mbao zenye oil. Mmoja akaenda omba kibarua pale pale.

PESA YANGU HALAFU UNATAKA IPANGIA MASHARTI? IMPOSSIBLE.
 
PESA YANGU HALAFU UNATAKA IPANGIA MASHARTI? IMPOSSIBLE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom