Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi...
Habari za wakati huu wana jukwaa
Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji
Kwa...
Wataalam naomba rough estimate ya msingi wa kijumba chenye GHOROFA MOJA, ukubwa wake ni 7680x9270.
Gharama ya msingi hadi kufunga mkanda ni kiasi gani cha fedha, Eneo ni flat kabisa.
Je, hatua...
MOMBA: TARURA YAFUNGUA BARABARA MPYA YA KM 8.24 WILAYANI MOMBA
Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi...
Habari,
Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.
Kuna nafasi ya kazi kwa mtu mwenye taaluma ya Usanifu majengo....
Architect/Civil engineer
Uzoefu : miak isiyopungua miwili.
Ukiwa interested nicheki inbox...
Wataalamu naomba mnisaidie kunijuza kuhusu vibali vya ujenzi, binafsi nina kibali cha serikali za mitaa ila kuna mtendaji alikuja site akaanza kufokafoka nikamwambia kibali ninacho, sasa baada ya...
UWEKEZAJI WA BILIONI 38 MKOMBOZI WA SARATANI NCHINI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imepongeza juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya saratani, hasa kupitia uwekezaji...
JINSI YA KUJENGA NYUMBA YAKO BILA STRESS AU KUVUNJIKA MOYO: VIGEZO VYA KUMCHAGUA FUNDI WA UJENZI MWENYE UZOEFU NA UBORA
Mwandishi: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua kwamba uchaguzi wako wa fundi wa...
Moja kwa moja kwenye mada, Nauliza ni lazima upate kibali cha ujenzi ndipo uanze kujenga ? Na hiko kibali kinapatikana wapi, Gharama yake kiasi gani, umuhimu wa hiko kibali,
Naomba maelekezo...
KAMATI YA BUNGE YAITAKA TAMISEMI KUCHUNGUZA MKANDARASI WA MRADI WA TACTIC KAHAMA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeielekeza Ofisi ya Rais - TAMISEMI kupitia upya mkataba wa mkandarasi wa...
Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata...
KAMATI YA BUNGE YAAGIZA MAABARA ZA SHULE ZA WASICHANA ZIKAMILISHWE
OR-TAMISEMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeielekeza Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
Kwenye ujenzi wa nyumba hakuna kitu kinakula gharama na kuleta stress karma 'finishing'
Leo tutaangazia kipengele cha urembo wa kwenye kuta.. Hapa badala ya kubandika mapichapicha yenye gharama...
RIPOTI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI (progress report as of 15 March 2025)
1. Idadi ya Sekondari Jimboni mwetu:
(Kata 21 zenye Vijiji 68)
1a. Sekondari za Kata/Serikali: 26...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.