Habari mdau..Je na wewe umewahi kupitia kazia hii ya kupata fundi (Ujenzi) asiye na uaminifu yani mdokozi...??
Bila shaka zipo sababu 2 ambazo mimi binafsi naona ndio chanzo cha Mafundi...
Nyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je...
Waungwana, amani na iwe kwenu.
Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi.
Nipo katika hatua za mwisho za kufanya...
Wana JamiiForums,
Naomba ushauri wa hili jambo langu nimejiokoteza kwenye shughuli zangu nikajipatia sh 4million nikaona nianze ujenzi.
Kiwanja ninacho ambacho ni mita 15 Kwa mita 10 nataka...
Mkoa wa Pwani ugawanywe
Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam.
Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa.
Mikoa miwili ya Tanzania bara...
NDEFU KIDOGO
Habari zenu wakuu , nadhani wote tunalikumbuka vizuri lile zoezi la urasimishaji liloanza chini ya raisi wa awamu ya tano marehemu jpm . Ukiachilia mbali changamoto zake , moja ya...
Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo
🔨 UNAHITAJI SAKAFU TARAZO IMARA NA YA KISASA? 🔨
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
✅ Tunatumia...
FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI
Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama.
Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa.
Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea...
Biashara inaleta faida kuliko kiwanja, bora nikiuze niongeze mzunguko kwenye biashara yangu.
Bei ni 2.5 m
Urefu hatua 30 kwa 25
Maeneo yamepimwa, hati ya serikali ya mtaa,
Kinapatikana...
Habari wanajamii forum,
Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya...
WANAFUNZI KUACHA KUTEMBEA KILOMITA KUMI KWENDA MASOMONI: WANAKIJIJI WAAMUA KUJENGA SEKONDARI YAO
Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni vya Mayani na...
Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi.
Msingi upi...
Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani.
Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
MCHENGERWA ATOA MIEZI MIWILI BARABARA ZA TARURA IKWIRIRI ZIKAMILIKE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini...
Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations)...
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.