S
ERIKALI INAENDELEA NA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA UMEME
▪️Lengo ni kuondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme
▪️Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Kilindi, Tanga waffikia...
UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI NA UANZISHWAJI WA "HIGH SCHOOLS" ZA SAYANSI
Musoma Vijijini- kila Sekondari inapaswa kuwa na maabara tatu za masomo ya sayansi. Masomo hayo ni yale ya...
MAABARA ZA MTIRO SEKONDARI: HARAMBEE YA KUPAUA MABOMA YALIYOKAMILISHWA
Harambee:
Jumanne, 22 April 2025
Gharama za upauaji:
Tsh milioni 25 (Tsh 25m)
Mtiro Sekondari ni Kata ya Bukumi
Vijiji...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka wadau, Nina million 30 nipo dar natamani nijenge vyumba kadhaa vya kupangisha vya single ila self sasa kwa bajeti hiyo inaweza kutoa vyumba vingapi...
Members nawasalimu,
Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ?
Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache...
Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤
Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na...
MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha...
MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi...
Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia.
Punde...
Jipatie Safety Gear vifaa vya usalama kwenye ujenzi ,viwandani na hata Migodini.Tupigie 0784087481 & watsup 0768815810.Tupo Mwanza na Tunatuma mikoani Kwa uwaminifu mkubwa
Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2.
Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4.
Mzamo wa footing ni...
Habari wakuu.
Baada ya kushindwa kumudu kuweka makabati ya mbao jikoni kutokana na ukubwa gharama,
Pia ya zege kwa kuhofia kutokuwa na mwonekano mzuri,
Nimefikiria ama kutumia materials za
1) MDF...
Naomba kuuliza wadau wa ujenzI kuna hii kitu,nadhani ni kokoto iliyozungushwa kuzunguka msingi wa nyumba,naona ni kama kokoto nyeusi na nyeupe au ni kokoto imepuliziwa rangi nyeupe na nyeusi...
Nchi ya Japan imepiga hatua za juu zaidi za kiusalama wa tetemeko la Ardhi kwa kutumia Nyumba za levitating zilizotengenezwa na Kampuni ya Kijapani ya Air Danshin Systems Inc. wakati wa hali ya...
Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au...
Habari mdau..Je na wewe umewahi kupitia kazia hii ya kupata fundi (Ujenzi) asiye na uaminifu yani mdokozi...??
Bila shaka zipo sababu 2 ambazo mimi binafsi naona ndio chanzo cha Mafundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.