Maganjila tz
Member
- May 2, 2024
- 56
- 80
Tunajenga kwa laki 8 kwa dar Mikoani Ina panda kulingana na bei ya usafiri malazi na chakula
Nitakusaka mzeya unifanyie kazi.View attachment 3275244choo cha kisasa kisicho jaa ha hakitowi halufu kabisa
Tunajenga kwa laki 8 kwa dar Mikoani Ina panda kulingana na bei ya usafiri malazi na chakula
Kiluvya madukaniNitakusaka mzeya unifanyie kazi.
Dar wapatikana wapi
Wewe ni msukuma wa wapi?View attachment 3275244choo cha kisasa kisicho jaa ha hakitowi halufu kabisa
Tunajenga kwa laki 8 kwa dar Mikoani Ina panda kulingana na bei ya usafiri malazi na chakula
Kinamatundu ya kusambaza maji takaNini kinafanya kisijae?
Sawa mkuu unaweza chukua namba kwaajili ya kazi 0685949661Nitakusaka mzeya unifanyie kazi.
Dar wapatikana wapi
Asantekazi mzuri mkuu
Kazi zinazotoa sifa za ujumla jumla huwa siziamini mie.View attachment 3275244choo cha kisasa kisicho jaa ha hakitowi halufu kabisa
Tunajenga kwa laki 8 kwa dar Mikoani Ina panda kulingana na bei ya usafiri malazi na chakula
Asante mkuu kwa ushauri wako huu mfumo unafanya kazi mazingila korofi na lafiki nikiamanisha aridhi yoyote mfumo unafanya kazi kwa ufafanuzi zaidi tembelea mitanda ya kijamii facebook na instagram. Jp_master1 utapata maelezo yote au WhatsApp 0685949661Kazi zinazotoa sifa za ujumla jumla huwa siziamini mie.
Haujasema aina gani ya udongo unaofaa kuchimba na kujenga choo cha sampuli hiyo.
Kuna maeneo watu wamejenga kuna chemuchemu za maji, iweje vyoo hivyo visijae?
Teknolojia gani mnatumia kudhibiti maji hayo nk nk?
Toa ufafanuzi unaojitosheleza na siyo kupromote kazi kunakojenga maswali.
Umeulizwa swali zuri sana ambalo nilitaka kuuliza na mimi. Bahati mbaya majibu ya kueleweka hakuna unatupeleka Facebook na Instagram.Asante mkuu kwa ushauri wako huu mfumo unafanya kazi mazingila korofi na lafiki nikiamanisha aridhi yoyote mfumo unafanya kazi kwa ufafanuzi zaidi tembelea mitanda ya kijamii facebook na instagram. Jp_master1 utapata maelezo yote au WhatsApp 0685949661
Asante 🙏
Hapa ni tangazo kwa maelezo zaidi kuna namba ya sim piga upate maelezo zaidiUmeulizwa swali zuri sana ambalo nilitaka kuuliza na mimi. Bahati mbaya majibu ya kueleweka hakuna unatupeleka Facebook na Instagram.
Au wewe sio fundi umetumwa tu kuleta tangazo?