kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 303
- 195
Habari zenu wadau!
Naomba kuuliza bei ya jumla ya vitu vifuatavyo kwa mahitaji ya kufungua duka la vifaa ujenzi.
1. Mabati
2. Nondo
3. Mirunda
4. Binding wire
5. Misumari
6. Mbao na vitu vingine vinavyohusu ujenzi ikiwezekana na sehemu ambapo nitavipata kwa pamoja.