Usilolijua: Mafundi ujenzi waongo ndio wamesaidia maskini kujenga nyumba zao kwa sababu hizi

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Duniani hakuna fundi ujenzi ambao sio waongo, tumekuwa na ugomvi kubwa mpaka kimataifa tukishitakiana na makampuni mbalimbali hadi haya kushindwa kesi au kushinda kesi. Kitaifa mpaka sasa tunamwona Jafo, Mbalawa na Kamwele wanavyokimbizana na mafundi wasiomaliza kazi.

Tuje MTU na MTU, sisi kwa sisi, fundi ujenzi atakuja kwako atakupa mahesabu mpaka nyumbani inaisha, hapo si nawe unachomoa tu million 30 eti nyumba itaisha thubutu. Pesa nyumba itapanda mpaka linta baada ya hapo Pesa inakata, kama ulikuwa na wazo la kumkimbia mama mwenye nyumba na ushaanza ubishoo hapo patamu, hapo hata hela yabkunua msumari hauna kabisa, ndipo fundi uingia hatua mpya ya kukufanya umalize nyumba, atakushauli uzibe madrisha machache uwezeke uoande nmoja amia, kufuatana uwezo hauna utamsikiliza na kuondokana kero za mama mwenye nyumba kwani ashataka uondoke apandishe kodi kwani wewe hawezi kukupandishia, vijemba vya hamia kwako haviishi.

Ndipo hasira hukutuma kuhamia hivyo hivyo kama hakuna mvua unanunua tundubali la muda unaanza ndogo ndogo. Ukisikia kuanza maisha ndio huku. Utaanza kukusanya mabati Mbao huku ukikimbizana na majira ya mvua. Bia moja utakuwa unahiesabia tofali, bia mpaka upewe ofa. Choo pipa la kutumbukiza. Mlango kipande cha blamketi.

Fundi haachi kuja kwa kuwa anajua ashakutia akili na ashakutia kimeo, ndipo uanza kukupa mawazo ya kuwezeka upande, wewe unakuwa na hasira unaezeka yote, hapo mawazo yanakuwa angalau afadhali inaanza kuitwa nyumba baada ya kuezeka wanaacha kuliita pagale, na kulambia madem vinuka mkojo au kupafanya choo ya majirani.

Hasira na mahesabu feki ndiyo umsaidia maskini ajenge kwani akipewa sahihi nyumba ya tsha mil 40 hawezi jenga
 
Wanasemaga fundi mwaminifu ni kinyozi tuu...

Akili yangu ya kimahaba huwa inanitumaga kujifunza na kuwa na ujuzi mbalimbali ili tuu fundi akinikera nafanya hiyo kazi mwenyewe..

K' Matata.
Nami nikukumbushe kazi ya ufundi nzuri akiifanya fundi na wewe kuwa mpenzi mtazamaji .

Mambos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba mpaka ikamilike unafukuza mafundi kumi, atakwambia hapa yofali 2000 tu zinatosha akishazinunua utaambia tumeweka coma nyingi ma msingi mirefu imekunywa tofal, unaongeza 1000 zinaisha bado. Kumbe alikudanganya awepo, na akikwambia ukweli utakata tamaa
 
Na nyie story zenu za kutisha kuhusu kujenga nyumba ndiyo zinawafanya watu wajenge wakipata pensheni.

Nyumba hiyo hiyo uliyojenga wewe kwa milioni 40 kuna mwingine kajengea kwa milion 20 na kuna mwingine kajengea kwa milion 7.....gharama za ujenzi inakuwa na vitu vingi sana ikiwepo aina ya sehemu uliyopo,usimamizi,nyakati za kujenga mfano alie jenga nyumba miaka 5 iliyopita gharama sio sawa na sasa yaani mambo ni mengi...

Mi nasema kama ukipata hata MILIONI 7 ukataka kujenga nyumba yako we jenga tu usitishwe na maneno ya mtu alie pata MILIONI 40 aka anza ujenzi ata kukatisha tamaa na kukwambia yeye hiyo milion 7 alitumia kwenye msingi tu wakati wewe unataka uhamie uje kuimaliza mbele ya safari.
 
Wana JF,

Duniani hakuna fundi ujenzi ambao sio waongo, tumekuwa na ugomvi kubwa mpaka kimataifa tukishitakiana na makampuni mbalimbali hadi haya kushindwa kesi au kushinda kesi. Kitaifa mpaka sasa tunamwona Jafo, Mbalawa na Kamwele wanavyokimbizana na mafundi wasiomaliza kazi.

Tuje MTU na MTU, sisi kwa sisi, fundi ujenzi atakuja kwako atakupa mahesabu mpaka nyumbani inaisha, hapo si nawe unachomoa tu million 30 eti nyumba itaisha thubutu. Pesa nyumba itapanda mpaka linta baada ya hapo Pesa inakata, kama ulikuwa na wazo la kumkimbia mama mwenye nyumba na ushaanza ubishoo hapo patamu, hapo hata hela yabkunua msumari hauna kabisa, ndipo fundi uingia hatua mpya ya kukufanya umalize nyumba, atakushauli uzibe madrisha machache uwezeke uoande nmoja amia, kufuatana uwezo hauna utamsikiliza na kuondokana kero za mama mwenye nyumba kwani ashataka uondoke apandishe kodi kwani wewe hawezi kukupandishia, vijemba vya hamia kwako haviishi.

Ndipo hasira hukutuma kuhamia hivyo hivyo kama hakuna mvua unanunua tundubali la muda unaanza ndogo ndogo. Ukisikia kuanza maisha ndio huku. Utaanza kukusanya mabati Mbao huku ukikimbizana na majira ya mvua. Bia moja utakuwa unahiesabia tofali, bia mpaka upewe ofa. Choo pipa la kutumbukiza. Mlango kipande cha blamketi.

Fundi haachi kuja kwa kuwa anajua ashakutia akili na ashakutia kimeo, ndipo uanza kukupa mawazo ya kuwezeka upande, wewe unakuwa na hasira unaezeka yote, hapo mawazo yanakuwa angalau afadhali inaanza kuitwa nyumba baada ya kuezeka wanaacha kuliita pagale, na kulambia madem vinuka mkojo au kupafanya choo ya majirani.

Hasira na mahesabu feki ndiyo umsaidia maskini ajenge kwani akipewa sahihi nyumba ya tsha mil 40 hawezi jenga
Aisee sijui umefikirria nini ila upo sawa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga Msingi wa Nyumba nzima kama ilivyo kwenye Ramani yako. Kisha pandisha master bedroom na chumba kinachopakana fanya kila kitu, Lipu, Rangi, Wiringi, Umeme, Maji safi, shimo la maji taka N.K kisha hamia kwingine utamalizia ukiwa hapo hapo ndani kwako.
 
Jenga Msingi wa Nyumba nzima kama ilivyo kwenye Ramani yako. Kisha pandisha master bedroom na chumba kinachopakana fanya kila kitu, wiringi, umeme maji N.K kisha hamia kwingine utamalizia ukiwa hapo hapo ndani kwako

Ushauri maridhawa kabisa na kitu kingine hata kama una nyumba sio lazima uishi kwenye nyumba yako

Sent using IPhone X
 
Jenga Msingi wa Nyumba nzima kama ilivyo kwenye Ramani yako. Kisha pandisha master bedroom na chumba kinachopakana fanya kila kitu, Lipu, Rangi, Wiringi, Umeme, Maji safi, shimo la maji taka N.K kisha hamia kwingine utamalizia ukiwa hapo hapo ndani kwako.
Mada ni kwamba fundi anakupa estimate ya kukutia moyo wewe unaamsha yote katikati unashindwa inabidi uamie hivyo hivyo hata kama hamna bati utaweka tundubai. Lakini ukiwa mpiganaji unaimaliza tu , hapo ndipo baadae unamshukru fundi muongo anayekufanya ujenge nyumba
 
Wanasemaga fundi mwaminifu ni kinyozi tuu...

Akili yangu ya kimahaba huwa inanitumaga kujifunza na kuwa na ujuzi mbalimbali ili tuu fundi akinikera nafanya hiyo kazi mwenyewe..

K' Matata.
Unapanda juu kwa hasira unagonga bati mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nyumba mpaka ikamilike unafukuza mafundi kumi, atakwambia hapa yofali 2000 tu zinatosha akishazinunua utaambia tumeweka coma nyingi ma msingi mirefu imekunywa tofal, unaongeza 1000 zinaisha bado. Kumbe alikudanganya awepo, na akikwambia ukweli utakata tamaa
😀😀Akwambie ukweli akose kazi.
 
Jenga Msingi wa Nyumba nzima kama ilivyo kwenye Ramani yako. Kisha pandisha master bedroom na chumba kinachopakana fanya kila kitu, Lipu, Rangi, Wiringi, Umeme, Maji safi, shimo la maji taka N.K kisha hamia kwingine utamalizia ukiwa hapo hapo ndani kwako.
Me nasema kama kiwanja kinaruhusu jijengee kakibanda chako chumba au vyumba viwili na sebule. Pembeni kabisa kwenye kona. Bangaloo lako utatembea nalo mdogo mdogo ukiwa hapo hapo.
 
Back
Top Bottom