Hivi mtu anaweza kumwaga rough floor pasipo kuezeka?

leoleo-tu

JF-Expert Member
Dec 18, 2018
1,268
3,511
Wakuu, mimi nina swali.

Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba?

Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december.

Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya hiyo shughuli?

Maana kwani inaathiriwa na mvua au jua ile?
 
Hiyo hel hakuna kazi nyingine mbali na hiyo rough inaweza fanya?
 
Wakuu, mimi nina swali.

Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba?

Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december.

Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya hiyo shughuli?

Maana kwani inaathiriwa na mvua au jua ile?

Haina shida, ila unakimbilia wapi?
 
Wakuu, mimi nina swali.

Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba?

Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december.

Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya hiyo shughuli?

Maana kwani inaathiriwa na mvua au jua ile?
Unaweza kutengeneza rough floor mkuu bila ya kuezeka.Nilifanya hivi pia wakati nasubiri bati zangu niloagiza kutoka China.Changamoto kubwa ikikaa mda mrefu sana na jua likiwa kali sana inapasuka. Japo haina shida sana ikipasuka kwan utakuja weka tiles baadae.
 
Umechelewa sana, kumwaga jamvi ni hatua ya pili ikitanguliwa na kujenga msingi ndo inafuata kujenga boma.
Basi nadhani hatujaelewana. Hayo maswala ya kumwaga zenge baada ya msingi huwa ni wale wanaojiweza. Sisi huwa tunajenga msingi, tunafunga mkanda tunatia kifusi, tunajenga pagala kisha, kuezeka, then ndio kupanga maweza na kumwaga rough floor. Sasa nazungumzia hii ya kupanga mawe na kumwaga rough floor mkuu.
 
Unaweza kutengeneza rough floor mkuu bila ya kuezeka.Nilifanya hivi pia wakati nasubiri bati zangu niloagiza kutoka China.Changamoto kubwa ikikaa mda mrefu sana na jua likiwa kali sana inapasuka. Japo haina shida sana ikipasuka kwan utakuja weka tiles baadae.
Shukrani mkuu.
 
Mkuu sisi watu tunaopambana mtaani ela inakuja bila taarifa na kuondoka bila taarifa. So ukiipata ni afadhali ifanye kitu
Hiyo pesa nenda kawekeze kwenye duka wanalouza bati ili ifikapo hiyo november ukachukue bati zako kiroho safi.
 
Ela ya bati ipo mkuu ila kuipata mpaka november au december. So ndio maana nawaza nazopata hapa kati nizifanyie jambo
 
Ukipata hardware waaminifu unaweza kuiweka hiyo hela ukaanza kukusanya bati mdogo mdogo
Mkuu si kwamba nafanya hivyo kwa kukosa ela ya kuezeka hapana. Ela ya kuezeka ipo ila ntaipata november au december so hapa kati nataka kazi iwe inaendelea ndio maana nauliza
 
Ndio Inawezekana, .., Mimi NILIFANYA HIVYO kabla sijaezeka kwa lengo la kupambana na mvua zitakazo sababisha Msingi kutitia..
HIVYO kwangu Mimi naona ni maamuzi sahihi Sana.
 
Back
Top Bottom