Cainan
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 414
- 469
Habarini za asubui Wana JF,
Kutokana na ukuaji wa teknolojia katika suala zima la makazi , nimeona katika nchi nyingi uwepo wa park homes au Prefabricated homes (detached bungalows) nikimaanisha ni haina zile za nyumba ambazo zinaweza amishika au zimetengenezwa kiwandani
Kwa bara letu la afrika , Kuna nchi kama south Africa (SA) na Zambia wao wanatumia sana aina hizi za nyumba
Sasa nije kwetu hapa Tanzania je kuna uwepo wa hizi nyumba au kuna kiwanda ambacho wanatengeneza hizi Prefabricated homes. Nimezipenda sana na naskia ni cheaper ukilinganisha na hizi za bricks za kwetu
Mainjinia na wataalam wengine wa ujenzi karibuni
View attachment 1955912View attachment 1955913View attachment 1955914