Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Mambo yasiwe mengi wakuu. katika kujitafuta nimeona niweke vyeti pembeni niingie rasimi kujifunza fani ninayovutiwa nayo inayohusu mambo ya Gypsum design, wall skimming,perfic finishing and paint...
2 Reactions
6 Replies
911 Views
Habari wataalamu nauliza fremu za namna hii Zina bei gani?
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu. Uhalisia huo umenifanya niijiulize...
2 Reactions
22 Replies
10K Views
NYUMBA 196 ZILIZOJENGWA NA WHI JIJINI DODOMA ZAIKOSHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph...
0 Reactions
6 Replies
977 Views
Hongereni mliofikia hatua hii na ambao walishaipita muda mrefu. Msingi, Lenta, Lipu hadi Bati. Karibuni
5 Reactions
92 Replies
9K Views
Habar wakuu Kwanza Natafuta kampuni(sio mtu) iliobobea kwenye maswala ya plumbing inayoweza kufanya plumbing both maji Safi na maji taka kwenye gorofa tatu tatu(zipo gorofa nyingi) na kusambaza...
1 Reactions
6 Replies
961 Views
Habari wakuu, Naomba kusaidiwa mawazo kwa wale WAELEVU wa mambo ya ujenzi, hv 7M naweza kujenga ka'nyumba ka aina gan ka kuanzia maisha! NB: Kiwanja ninacho!! Thanks
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, week kadhaa nyuma niliomba ushauri juu ya ramani yangu ya kwanza. Refer uzi huu hapa:[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2067353/ Wengi wenu mlinishauri, na...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu. Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu. Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona...
5 Reactions
61 Replies
10K Views
Habari wapendwa, niliwahi uliza kati ya Goba & Kigamboni wapi pako poa. Kutokana na uwepo wa jamaa zangu wengi maeneo ya kigamboni, nimeamua kwenda huko. Sasa kisota na kibada ndo napawaza maana...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani nimeahamia Dar ila niliyemtegemea haeleweki Naombeni mnipe ujuzi wa hii kazi na mimi niifanye 0687 164 313 nipo kimara
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Nina swali moja kama sio mawili. Eneo lililotengwa kwa ajili ya maziko ya watu (makaburi) ni sawa Serikali ama mtu binafsi kupatumia kwa shughuli za ujenzi kwa maana ya kusambaza makaburi bila...
4 Reactions
9 Replies
947 Views
Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika. Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
This is for the people how need beauty beauty house, you make a call 0763269695[emoji857][emoji857]
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Imekuwa ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi kuamua kujenga na kuendelea kuishi maisha yale yale. Unakutana fundi fenicha aliyefanya kazi miaka 15 anakuambia anamalizia ujenzi ukiangalia...
46 Reactions
169 Replies
11K Views
Natafuta msaada wa jinsi ya kusajili kampuni class6 CRB. Mwenye uzoefu wa jinsi ya kusajili karibu inbox.
3 Reactions
4 Replies
1K Views
MDAU WA MAENDELEO ACHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumatano, 8.3.2023, mmoja wa Wadau wa Maendeleo hapa nchini, NGUVU MOJA SECURITY SERVICES...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Hivi maeneo ya Mbagala, muda wa usiku kuna mataa ya kutosha mtaani au ni giza giza. Usalama kwa ujumla ukoje hususan maeneo ya ndanindani?
1 Reactions
5 Replies
896 Views
Back
Top Bottom