Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,895
- 940
JIMBO LA IGUNGA
Tumepokea Fedha kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya Sekta ya Elimu kwa mchanganuo ufuatao;
Tshs. 814,900,000/- za Ujenzi wa Shule Mpya za Msingi na Urekebishaji
Shule ya Msingi Buyumba (Kata ya Igunga)
- Ujenzi wa Madarasa 3 @ 26,000,000/- = 78,000,000/-
- Matundu 3 ya Vyoo @ 2,200,000/- = 6,600,000/-
- Jumla ya Fedha 84,600,000/-
Shule ya Msingi Hanihani (Kata ya Igunga)
- Ujenzi wa Madarasa 2 @ 26,000,000/- = 52,000,000/-
- Matundu 3 ya Vyoo @ 2,200,000/- = 6,600,000/-
- Jumla ya Fedha 58,600,000/-
Shule ya Msingi Jitegemee (Kata ya Igunga)
- Ujenzi wa Shule Mpya, Mikondo 02 = 561,100,000/-
- Jumla ya Fedha 561,100,000/-
Shule ya Msingi Mwabalaturu (Kata ya Itunduru)
- Ujenzi wa Madarasa 4 @ 26,000,000/- = 104,000,000/-
- Matundu 3 ya Vyoo @ 2,200,000/- = 6,600,000/-
- Jumla ya Fedha 110,600,000/-
Tunaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutupatia Fedha za Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo Letu.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga
1 Aprili, 2023