Kwa maana hiyo room yao iwe self mfano icho chumb cha kulia kinachoangaliana na master ndo kiwe cha watot wa kike n kiwe selfWatoto wakike wawekee choo chao unataka wakutane na vijana usiku kwenye kordo za choo
Hapo kwenye kitchen ipo varanda hapo.Mlango wa nyuma ya nyumba uko wapi?
Noted itakaa iyo sehemu ya voidIko sawa kama unataka simple ila hapo kwemye ka uwazi kwenye public toilet tupia sink la kunawa mikono na kupiga mswaki. sawa?
Kwa makisio haka katakugharimu bei gani mkuu hadi finishing?noted
Kwa makisio haka katakugharimu bei gani mkuu hadi finishing?
Mimi ningehamisha M/bedroom kwenda ilipo bedroom 2 na hiyo choo ya master iwe ya public na hiyo ya public iwe ya master ili masterbedroom iwe konani kwenye kautulivu fulani ukizingatiwa ndiyo sehemu inakoimarishiwa familia ....privacy reasonsNimetafuta raman ya nyumba simple simple nimekutana na hii naomben ushaur kwenye hii ramani
View attachment 2534059
Iko poa sana tu,naliona hata kochi lako hapo utakalokuwa unapendelea kukaa...Nimetafuta raman ya nyumba simple simple nimekutana na hii naomben ushaur kwenye hii ramani
View attachment 2534059
Hapo sebuleni dirisha moja, binafsi sipendelei
Mimi ningehamisha M/bedroom kwenda ilipo bedroom 2 na hiyo choo ya master iwe ya public na hiyo ya public iwe ya master ili masterbedroom iwe konani kwenye kautulivu fulani ukizingatiwa ndiyo sehemu inakoimarishiwa familia ....privacy reasons
Nimemaznisha locations ziwe switchedchoo ya master ikiwa public watu watakua wanafika na kuona chumba cha mzee ni hichi pengine usiku mtu asikilizie chabo[emoji23]