Watu wengi hukutana na wataalam wasio sahihi

Ijagara

Member
Dec 15, 2021
29
61
Habari za muda huu wakuu,

Siku moja mida ya jioni nikiwa nimetulia nilistushwa na text ya whatsap, kucheki vizuri nikabaini ni mteja kutoka Instagram kwenye account yangu inayohusiana na ujenzi
@construction_solutions_tz.

Baada ya maongezi ya hapa na pale nikagundua jamaa anahitaji huduma ya Ramani na ujenzi wa nyumba lakini alikuwa ameshachorewa Ramani hapo awali. Kwa maelezo yake nilibaini jamaa alikuwa hajaridhika na Ramani Ile na alikuwa anatafuta mtaalam wa kushauriana nae au kubadili kabisa Ramani.

Baada ya kumskiliza kwa kina Sana na kumuelewa nini anahitaji, nilimuahidi jamaa kuwa atapata anachohitaji hivyo aondoe wasiwasi. Tukapanga meeting siku ya weekend ili kudiscuss zaidi Ramani yake na kupitia baadhi ya sample za Ramani zangu.

Weekend inafika tumeet kama tulivopanga, tunapitia Ramani ya mteja. Baadae nikaja kugundua nyumba ni kubwa Sana kuliko mahitaji ya mteja pili haikuwa na taarifa za kutosha kujielezea kama Ramani inavotakiwa. Sikuwa kingine Cha ziada zaidi ya kumpa pole na kumuhakikishia nitampatia Ramani inayokidhi mahitaji yake.

Nikavuta computer yangu vizuri, nikapiga funda moja la maji tayari kwa presentation na kuhakikisha mteja anaelewa vizuri Ramani na inakidhi mahitaji yake. Ramani ilikuwa very simple na classy ikiwa na bedrooms mbili za kulala moja master, sebule, dinning ndogo, jiko na store.

Baada ya yote tunakagua size ya nyumba, tunakagua design ya bati kwani ilikuwa ni aina ya contemporary, tunakagua mfumo wa kuteremesha maji ya mvua, mpangilio wa furniture ndani na mwisho kabisa nampatia mteja ushauri wa kiujenzi na namna nyumba hio inavyojengwa.

Baada ya yote hayo tayari mteja alikuwa ameshaelewa kwanini anunue Ramani hio na kwanini itamfaa. Kwa mbali Sana nauona uso wake uliojaa furaha baada ya kupata Ramani ya ndoto zake.

Tunamaliza presentation na kukubaliana bei ya Ramani mteja anakuja kubaini bei yangu ni asilimia 20 chini ya bei aliyouziwa hapo awali.

Hivyo basi, karibu ujipatie Ramani ya nyumba Yako kwa gharama nafuu kabisa. Tunakuuzia Ramani baada ya presentation kuielewa vizuri Ramani Yako.
Pia tunatoa huduma ya ujenzi wa nyumba na majengo ya biashara, gharama zetu ni nafuu na huduma ni Bomba sana.

Wasiliana nasi kwa;
Whatsapp 0754084611

Instagram: Login • Instagram

Website: http://www.constructionsolutionstz.com

Tunapatikana Arusha, Mafao house, floor ya 7.

Jina la offisi: Construction Solutions
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom