Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Nauliza hivi hiki kilikuwa ni kikao cha nini na cha ajenda gani , wakati gani ,wapi na mwaka gani ambapo Mheshimiwa Hayati Edward Lowassa aliwakusanya na kuzungukwa na...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Miye vijana kila siku nawaambia. Msidhani serikali ni kama nyumbani kwako au huko ulipolelewa. Wee kama hukufunzwa na mamaako tarehe 29 kaandamane alafu uone tukikupa mafunzo ya bure bila kulipia...
4 Reactions
30 Replies
756 Views
Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji. Mtu huyu wa Cheche Times analipia...
1 Reactions
17 Replies
520 Views
Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa njia yeyote hata kwa kuungana na wauaji they don't care kulingana na shule zao za hapa na pale...
3 Reactions
10 Replies
401 Views
Oct. 29 watu wamekufa, siku ya uhuru watu tumefungiwa ndani, Dar es salam jiji kubwa la kibiashara lanye wakazi zaidi ya milioni 7 halina maji, aliyewahi kuwa waziri wa serikali ya JMT Ndg. Mwambe...
4 Reactions
9 Replies
364 Views
Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨⁣ ⁣ Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections. ⁣...
2 Reactions
17 Replies
663 Views
Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo...
0 Reactions
8 Replies
363 Views
Wadau, Tuna msemo maarufu: "Namba Hazidanganyi." Kwenye nchi yoyote, takwimu (data) ndiyo msingi wa uhalali (legitimacy). Lakini ukiangalia Takwimu za Uchaguzi wa Oktoba 2025 na Takwimu za Watu...
1 Reactions
1 Replies
205 Views
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao. Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge...
33 Reactions
122 Replies
5K Views
Kama ilivyotangazwa mapema, kundi la vijana maarufu kama Gen-Z lilipanga kufanya maandamano tarehe 9 Desemba kupaza sauti juu ya masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa yanayoikabili Tanzania...
23 Reactions
29 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole...
1 Reactions
24 Replies
978 Views
Hehee! Kheri wanangu. Mefika muda huu uyole mambo yako biyee. Kesho twajua wapi twaanzia. Wana maendeleo mupoo. Hehehee hakikisheni wajilinde na familia zao. Hehee na bado. Walifikiri siye Bibi...
16 Reactions
41 Replies
2K Views
Mkazi wa Dsm aliyejiyambulisha kwa jina la Amina Eli akitoa maoni yake kuhusu hali ya Disemba 09 "Tunashukuru jeshi la polisi na Vyombo vya usalama kwa hali ya Disemba 9 matarajio ya watu...
2 Reactions
14 Replies
247 Views
Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi. Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo...
117 Reactions
175 Replies
17K Views
Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti...
1 Reactions
48 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia...
1 Reactions
12 Replies
303 Views
Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye...
6 Reactions
25 Replies
649 Views
Tumekubali yaishe? Tumewaachia ushindi watafune nchi wawezavyo? Ni maswali yasiyo majibu yanayoumiza moyo na kuitesa akili. Hivi tumeiacha Tanganyika ikilia na kuomboleza huku ikitafunwa mpaka...
5 Reactions
25 Replies
661 Views
Mama huyu anapenda kupiga magoti sana! kwenye kuomba jambo lake, maana si mara ya kwanza kupiga magoti akiwa katika harakati zake za kisiasa za uchawa Je hadi mumewe anampigia goti akimkosea au...
2 Reactions
14 Replies
619 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…