Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya...
35 Reactions
211 Replies
6K Views
Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili. Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale...
4 Reactions
6 Replies
399 Views
Mfanyabiashara Yona Sonelo kutoka Jijini Dar es salaam amesema alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliokuwa wakifahamiana vyema na marehemu Jenista Mhagama, na kueleza kuwa alimpa moyo baada ya...
1 Reactions
14 Replies
634 Views
Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji Nawasilisha
24 Reactions
41 Replies
849 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama.
1 Reactions
4 Replies
402 Views
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya kueenea kwa taarifa juu ya kuzuiwa kwa Aliyewahi kuwa waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutoka nje ya Nchi amevunja ukimya nakusema kuwa "Nawashukuru wote walionifikia kutaka kujua ukweli...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Waziri Mkuu: Jenister hakuonesha kama ana changamoto yoyote ya afya. Waziri wa Afya: Hali ya Jenister ilikuwa mbaya sanaa.
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi...
6 Reactions
16 Replies
414 Views
Habari wakuu!! Niende kwenye hoja yangu Kila kukicha CHADEMA wanakuja na mambo yale Yale waliyoyatamka juzi ,Jana nk huku wakiwaacha wananchi hewani bila kujua ni kipi kifanyike, CHADEMA...
3 Reactions
9 Replies
302 Views
Ratiba rasmi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, imetangazwa, ikionyesha utaratibu wa maombolezo na ibada zitakazofanyika kuanzia Desemba 12 hadi...
1 Reactions
3 Replies
469 Views
guest-1791802738
Ukija kichwa kichwa, utaona team ya wasanii kama hawajui kucheza mpira, kama hawaelewani, wanapishana, ila bado inabaki kuwa team moja. Wana mbinu nyingi za kushinda hii game. Moja ya mbinu yao...
2 Reactions
23 Replies
730 Views
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ameomba familia ya marehemu Jenista Mhagama kuendelea kuwa wamoja, kushikamana na kuepuka kusikiliza maneno yoyote ya kuwagawa, akisisitiza umuhimu wa upendo na...
4 Reactions
14 Replies
620 Views
Hapa ndipo nimeona hawq jamaa hawajitambui na wanachowaza ni ugali na nama tu Yaani wanasema tatizo ni vijana kutokuwa na ajira sekta rasmi au isiyo rasmi Juzi kati nikaona mkuu wa mkoa Tabora...
3 Reactions
12 Replies
217 Views
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye...
1 Reactions
11 Replies
510 Views
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao...
59 Reactions
524 Replies
21K Views
Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32). Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo...
2 Reactions
66 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kutoitambua serikali ya Tanzania iliyozaliwa na uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na ukiukwaji wa haki...
12 Reactions
40 Replies
1K Views
Kuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya Hatuwezi kuendelea na utekaji tena Big no!!
24 Reactions
62 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…