Ndugu zangu Watanzania,
Machozi ya furaha yananitoka, Uso wangu umejaa na tabasamu kuona picha hii ya mwisho kama kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia Katika awamu...
Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana.
Weledi katika hutuba...
MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku...
MHE. SARA MSAFIRI APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MVOMERO
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mkoani Morogoro, Mhe. Sara Msafiri amefanya kikao kazi na Wakuu wa idara mbalimbli...
Unakaa na Lissu gerezani wa nini?
Mahakama imeshatoa maaamuzi kuwa ushahidi haufai. Ushahidi ambao Dpp na Wasomi wenzake waliaamini ni ushahidi credible.
Sasa wanataka ushahidi gani tena?
Basi...
Tanzania kuzuiwa kuingia marekani ni kutokana na mauwaji, rushwa, udhaifu wa mifumo ya utambuzi, utekaji hii inahatirisha usalama wa marekani.
Tanzania sio nchi salama kwa sasa inawapumbavu wengi...
Sasa viongozi wanahubiri utu na kazi. (nyuma watu wanatekwa na kuuawa kila uchwao).
Ndani ya vipigo na uonevu usiokoma viongozi wa dini wanalipwa kuombea amani na kutaka maridhiano...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya...
Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano.
Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha...
Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma.
Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha...
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika
"Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani...
Mfumo huu umejengwa kwa makusudi ili kuondoa mianya ya uasi na mapinduzi. Bila udhibiti huu wa hali ya juu, nchi ingeweza kupinduliwa kwa urahisi mara kwa mara.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi...
Tumeambiwa humu mara kadhaa kwamba ccm ina wanachama lukuki Nchi nzima, N.a. ushahidi mwingine ni Kura alizopata Hangaya mil 32 (Yaani zaidi ya nusu ya Watanzania wamemchagua)
Sasa mamilioni haya...
Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda.
Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema...
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa...
CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena.
Check hapa:
Wameshindwa hata ku verify account yao
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania...
Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya.
Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli...