Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Taifa Godbless Lema akiongea na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara yao ya No reforms No Election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
1 Reactions
0 Replies
360 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla akiwachambua wapinzani.
0 Reactions
5 Replies
549 Views
Mwenyekiti wa vijana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Deogratius Mahinyila akiongea na wananchi wa Bukoba Mjini katika ziara yao ya chama ya "No reforms No Election" Kupata matukio na...
1 Reactions
7 Replies
645 Views
Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti. Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Namshauri John Mnyika awe makini sana na asimuamini sana Mbowe kwa kile alichomueleza. Mnyika anapaswa kujiuliza juu ya ukimya wa Mbowe licha ya yote yanayoendelea na ni lazima ajiulilxe ni...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hekaheka za Uchukuaji Fomu katika maeneo mbalimbali zinaendelea ambapo Mkoani Geita katika Jimbo la Geita Mjini Emmanuel Otto Ikolongo kupitia chama cha ACT wazalendo amechukua Fomu ya kugombea...
1 Reactions
4 Replies
671 Views
Wakuu, Kumbe Heche anaendesha gari ambalo amenunuliwa na kada wa CCM na mlikuwa hamsemi? Huyu kada wa CHADEMA amesema kuwa gari aina ya Toyota ambalo anaendesha Heche kwa sasa amenunuliwa na...
13 Reactions
102 Replies
5K Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuchangamka huko, mvua inayesha tunaona panapovuja. Tusibiri saa tano kamili tuone kitakachojiri. https://www.youtube.com/live/0O9B4aH_fag?si=gZorh7bK6lTU3LTJ Edward...
14 Reactions
149 Replies
8K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema ushindi mkubwa wa CCM katika maeneo mbalimbali ni ushahidi wa wananchi...
1 Reactions
11 Replies
520 Views
let me spit some real sh*t right now coz this ain't no joke! Tanzania tumewekwa ndani ya box la ujinga – system ni toxic, watu wanaongoza ni kama wana play video game na maisha yetu. Wanatuchezea...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Harakati za kumsaka mahali alipo kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya, Mdude Nyagali zimeendelea kushika kasi. Makada na viongozi wa Chadema wameendelea kuweka kambi...
1 Reactions
0 Replies
417 Views
Wanachama wa CHADEMA mkoani Mbeya wamefanya maombi kwa ajili Mdude Nyagali kutoka kwenye kambi ya kumtafuta iliyowekwa Ofisi za Chama kanda Mbeya. Pi, Soma: RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya Tuzo za Kalamu ya Samia Mhariri wa Gazeti la Daily News alirusha jiwe angani, akasema, wenye D mbili na hata wale wenye F wameelewa. Maana kilichofanyika pale ni kuzika uhuru wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Uchaguzi Mkuu wa 2025 bado unasubiri rasmi kutangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, lakini tayari joto la kisiasa limeanza kupanda nchini Tanzania. Vyama vya siasa vimeanza kuelekeza ajenda...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA...
5 Reactions
142 Replies
7K Views
Hapa ni Kata ya Kayanga, Wilayani Karagwe wakati Dkt Slaa amefundisha wanakijiji hao maana ya No Reforms No Election Swali letu ni hili, Kwa hali hii ni nani atashiriki Uchaguzi wa Magumashi?
22 Reactions
41 Replies
3K Views
Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo! We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Lucy Mrimi, dada wa Daniel Chonchorio Nyamhanga, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye hajulikani alipo mpaka muda huu ameiomba serikali kuingilia kati juhudi za...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Goodmorning cha Wasafi, Tulia Ackson amekosoa vikali azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kutaka Serikali ya Tanzania imuachie Tundu Lissu "Baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Back
Top Bottom