Huyu Muhuni aliyezeeka anaonekana kuna vitu vingi yuko behind na ndo mpishi wa haya yote amekosa maadili ya Uongozi na Uzee wake inatakiwa akamatwe mara moja kwa vitendo vyake vya kihuni.
Juzi...
My people,
Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao
Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa...
Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho.
Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa.
Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano.
Wakati mwingine...
Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Limetoa taarifa ya kuwa halijapokea taarifa yoyote ile juu ya uwepo wa tishio la kuuwawa kwa Dkt Kitima katibu Mkuu wa TEC...
Unaweza kusema jitu la msituni Clemence Mwandambo mr Teacher anaendelea kupiga kwenye mshono mbichi kabisa!
Leo kaja ya kuhoji kazi ya usalama wa taifa, kwamba usalama wa taifa ni kwaajili ya...
UAE, Saudi Arabia, Bahrain, oman & co. hairuhusiwi kusali barabarani ktk nchi karibia zote za kiarabu zilizostaarabika, na ukionekana kwa mfano dubai unakamatwa mara moja kwa kufunga barabara na...
Oktoba 30 Watu walikua kwenye Kijiwe cha Banda la Kahawa Wakifuatilia taarifa ya Habari na wakipiga story za hapa na Pale kama walivyozoea siku zote hapo kijiweni kwao, ilikuwa ni mchanganyiko wa...
Describe your president in one word.
NYERERE (CCM)
Anaheshimiwa kama "Baba wa Taifa" na Mwalimu, alisisitiza uhuru na umoja. Ideology UJAMAA na KUJITEGEMEA.
MWINYI (CCM)
Mzee Rukhusa...
Kwa miaka mingi Tanzania imejivunia kuwa nchi tulivu na yenye amani barani Afrika. Hata hivyo, mjadala mpya kuhusu usalama wa taifa umeibuka kufuatia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyosema...
ukiachana na yule mama aliyepigwa shaba akikimbia, kuna story ya jamaa mwimgine inasambaa-imeniumiza.
Kuna bwana mmoja, kazi yake ni mlinzi. Inaonekana bwana huyu aliondoka kwenda shift zake ya...
Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au...
Nazungumza na vijana wakitanzania ambao mmeajiriwa katika majeshi mbalimbali kama JWTZ, Polisi, TISS n.k
Hivi ni kweli mmekubali kudharirishwa na huyo mwanasiasa asio na akili hata ya kuongoza...
Njia pekee iliyobaki kwa TBC angalau kutazamwa n.a. wananchi ilikuwa kuonyesha michuano hiyo ya Afcon.
Ikumbukwe kwamba Hii channel ni ya bure, na ndio hao masikini wa TANZANIA wanaitumia...
Kwamba kuna mkakati wa kuifutia usajili Chadema ya Lissu.
Kisa tu Lissu amekataa kuhongwa na kuwa kibaraka wa CCM.
Kisa tu CHADEMA inakataa na kupinga utekaji, ufisadi na mauaji ya watu wasio...
Kwa kushindwa kulaani mauaji ya tarehe 29 Oktoba, CCM kimekuwa chama cha serikali.
Makosa ya erikali yana baraka za CCM.
Watu kuuawa mithili ya nzi tarehe 29 Oktoba, CCM iko kimya
Nani atakiamini...
Ni kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi nchi ipo kwenye migogoro mkubwa na vikwazo lukuki msitarajie maendeleo yoyote ni kutekwa na kuuwawa tu.
Nchi baada ya uchaguzi imeambulia vikwazo na misiba...
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha harakati zote za maandamano.
Maandamano yalishafanyika tena makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni...
Kuna njama za kuifuta CHADEMA endeleeni kuchochea moto zaidi, wauwaji wa raia na watekaji hadi maiti hospital ni rais haramu na polisi ushahidi upo.
Ushihidi kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa uongo na...
Leo, tapeli gwajima anatesa. Wapo walioahadaika wakadhani anaichukia serikali wakati ni chawa wake. Ukiangalia anavyopayuka na kuendelea kuwa huru ukamlinganisha na Polepole, unapata jibu. Gwajima...