Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amesema Watanzania walipaswa kusikia chama hicho kitanyakua majimbo mangapi katika uchaguzi wa...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe amesisitiza kuwa ajenda ya mageuzi ni mali ya taifa zima na haipaswi kumilikiwa na chama chochote...
2 Reactions
5 Replies
646 Views
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu.... Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga kimesema kuwa jumla ya wagombea tisa wa nafasi za ubunge na udiwani wilayani humo wamebainika kujihusish na vitendo vya kugawa fedha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), imemkamata Diwani wa Kata ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Busoro Pazi, kwa tuhuma za rushwa na wizi wa mali ya umma. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu...
0 Reactions
1 Replies
528 Views
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo...
9 Reactions
108 Replies
7K Views
"Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi...
20 Reactions
46 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa ya Dharula iliyotufikia hivi Punde, kwamba baada ya Matangazo kutolewa kwamba Chadema itakuwa na Mafundisho kwa Raia kuhusu Neema ya No Reforms No Election hapo Chato, Raia...
12 Reactions
44 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema pamoja na kwamba Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu yupo gerezani hawatabaki kumlilia bali wataendelea na...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amefika Wilaya ya Chato, nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tano hayati John Magufuli, kupeleka kampeni ya chama hicho ya No reforms, No election. Heche...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Uchawa wa viwango unaendelea! Mapema Leo Wanenguaji (dancer’s) Kutoka Bendi Mbalimbali Tanzania Wakiwakilishwa Na Amka Dance’s Wametambulisha Kampeni Yao Mpya Inayokwenda Kwa Jina La AMKA NA...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
7 Reactions
60 Replies
5K Views
Siasa za Tanzania ngumu kuzielewa. Mzee Cheyo Eti Anamuomba Magufuli Mbunge mmoja wa jimbo atakayesaidia kutetea wakulima wa kahawa. 😋
0 Reactions
19 Replies
649 Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja. Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu...
22 Reactions
144 Replies
7K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji. Eneo walilopewa lilijaa...
17 Reactions
55 Replies
3K Views
Dkt. Lwaitama awapiga za uso G55, awapa elimu nzito ya utofauti kati ya cheo cha kuteuliwa na kuchaguliwa, asisitiza 'no reforms, no election' Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
2 Reactions
2 Replies
665 Views
Dkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Kupata matukio na...
17 Reactions
68 Replies
4K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema kuwa pamoja na mafanikio ya miradi mingi ya maendeleo, amepokea pia changamoto kadhaa zikiwemo za...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Back
Top Bottom