Hii inahusu upatikanaji wa wawakilishi/viongozi wetu hasa katika vyombo wa Bunge, Madiwani na Urais.
Katiba yetu inaelekeza kwamba kutakuwa na Bunge kwaajili ya kuwakilisha wananchi katika ngazi...
GT
Police wa Tanzania ni wendawazimu kabisa na hawana adabu kwa raia, Check hiki kipigo wanampiga mtanzania mwenzao kisa ulafi wa madaraka wa politicians.
Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena ubunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha tatu...
Nawaonea huruma sana CCM.
Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi...
Wakuu,
Wapanga mipango ni chawa unategemea kutakuwa na ushauri wa maana hapo kwenye jinsi ya kufanya mambo? CCM mnataka kuleta vita watu tuanze kuviziana!
=====
YAH: TAMKO LA KKKT DAYOSISI YA...
"Rais Samia kupitia watu wake wa karibu na Afisa mmoja wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wamekwenda kuwa lubuni;
1. Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mstaafu)
2. Salum Mwalum...
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa...
Wakuu,
Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.
Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu...
Mambo yanazidi Kunoga huko Arusha ,baada ya kunywa mchuzi Sasa ni minyama kutoka Kwa Mbunge 😁😁
Ngoma hii Bado mbichi,haijaisha mpaka iishe Stay tuned ,save the date.
---
Mei 10, 2025 kuanzia saa...
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye...
Jisomee Mwenyewe
"
NI NANI KATUROGA...?
Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.
Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’...
Hawa G55 chini ya ufadhili wa Prince Abdul walikuwa wajoin ACT Wazalendo na makubaliano yalisha fikiwa kabisa. Mwami Zitto ndie alikuwa Broker wa hili jambo na hajafanya bure hakuna kazi ya Bure...
Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.
Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika.
Taarifa...
Hapa ndipo Chato alikozaliwa Magufuli- watu wanamiminika kwenye mikutano ya Chadema kumsikiliza John Heche na viongozi wengine.
CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote bila kutumia vurugu na...
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amewachana wapinzani hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kueleza kuwa kuna mgogoro ndani ya chama hicho.
Kupata matukio na...
TV station kubwa za Tanzania yaani ITV, AZAM, TBC, STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana. Nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanaojitoa CHADEMA na mnawapa...
Wanachama zaidi ya mia moja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutoka kata za Engutoto na Lemara Jijini Arusha, wamepokelewa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye Mkutano wa hadhara...
Haipo haja ya kumung'unya maneno wandugu, wala kuendelea kulea pimbi.
Imesikika miluzi mingi mara oooh:
Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!
Mara oooh:
Pre GE2025 - DSM - Ujumbe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.