Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa...
Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba...
Sasa hivi kutekwa imekuwa kama kombolela tu.
MC pilipili kutekwa kapigwa na kuuwawa & Clemence Mwandambo kutekwa
Hakujawai kuwa na kauli madhubuti ya mamlaka dhidi ya watekaji, kila siku watu...
Imamu wa Msikiti wa Mtambani wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Sheikh Shaban Pembe amehoji sababu ya nguvu kubwa ambayo vyombo vya habari vya kimataifa na baadhi ya majirani wa Tanzania...
Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja.
Ili kutoa habari kama ile kwa weledi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo...
Mambo yameanza kuchangamka!
Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi katika kuimarisha ulinzi kwenye maeneo mbalimbali ya...
Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia...
Wakuu hamjakutana na huyu jamaa anajiita mkaka wa Taifa sijui, huyu jamaa anatafuta umaarufu au haishi Tanzania? So anajali ajira za wachache kuliko vifo vya maelfu ya Watanzania ambao kila siku...
Andrew Nyerere, mtoto wa kwanza wa Hayati Mwalimu Nyerere amesema "Maiti ziliokotwa barabarani, majeruhi walipelekwa mochwari kumaliziwa Serikali ikiri kwamba ilifanya makosa"
Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa...
Nimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi
Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili...
1. Rais anatoa order watu washambuliwe kwa risasi za moto.
2. Kwa siku nne mfululizo anakaa kimya wakati unyama huu unatekelezwa huku akipewa updates kila kukicha.
3. Siku ya tano anamwagiza...
Huku Nguruka utekaji bado unaendelea, ndani ya siku saba zilizopita waru watatu na baadhi yao ni wakereketwa wa masuala ya siasa kwenye vijiwe vya kahawa ambavyo ni;
1.Vedasto - Mfanya biashara...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kwenye ukurasa wake wa Facebook.
TUTOKE CHUMBANI TULALE SEBULENI
Bibi wa Kijaluo alijiandaa kwa safari ya kwenda mbali kwa...
Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea
https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.