Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko...
20 Reactions
50 Replies
3K Views
Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati...
3 Reactions
9 Replies
862 Views
CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata. Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa...
39 Reactions
161 Replies
10K Views
Kazi ya Chadema ya kusambaza jambo Tukufu la No Reform No Election imekuwa Nyepesi sana, kutokana na Elimu kabambe wanayopewa wananchi. Imekuwa rahisi kwa vile karibu kila kijiji cha Tanzania...
19 Reactions
103 Replies
4K Views
Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Mei 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Kada wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema amesema chama hicho hakipo kwa ajili ya kuwafikisha watu katika ndoto zao badala yake wapo kwa ajili ya kupambania maisha ya kizazi...
7 Reactions
15 Replies
796 Views
Ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba Radhi Askofu wa Anglikana Maimbo na pia kumtaka Naibu Waziri Mkuu kumuomba radhi Askofu Maimbo kwa kutomjibu kikamilifu, hivyo kupotosha msimamo wa Kanisa...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Mjinga ndiye anayeweza kusema kwamba mimi Kigaila ndiye niliyesaini fomu ya kuwapeleka wabunge 19 Bungeni, mimi sikuwa katibu mkuu na wakati huo nilikuwa Nje ya Nchi” Benson Kigaila Kupata...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
WABUNGE wa CCM walalamikia utaratibu mpya uliotangazwa na Chama cha Mapinduzi wa kuchukua fomu kuanzia tarehe 1 Mei 2025 tofauti na miaka yote ambapo mchakato wa kura za maoni huanza baada ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametangaza kuvunjwa kwa mkataba wa ujenzi wa barabara Mkoani Tanga baada ya Mkandarasi kutoka China kushindwa kutimiza masharti ya mkataba. Mkandarasi huyo...
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15. Grace amepokelewa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, Mei 12, 2025 atazungumza na Vyombo vya Habari. Ngoja tusikie atasema nini. Je, ni kuhusu CHADEMA kujitoa...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu...
11 Reactions
312 Replies
13K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, mjadala kuhusu Marekebisho ya Mfumo wa Uchaguzi (Reforms) haukwepeki. Kuna wanaosema reforms tayari zimefanyika, huku wengine vikisema bado kuna kasoro na...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom