Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Geita Mjini kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa nafasi ya Mjumbe wa kundi mchanganyiko katika Mtaa wa 14 Kambarage, kikilalamikia...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye...
0 Reactions
6 Replies
841 Views
Kama Wapinzani wakiendelea kulalamika basi wajue uvumilivu wa Serikali utafika mwisho halafu jambo baya litatokea. Wapinzani wajikite katika Uchaguzi wa mwaka kesho. Kama lipo tatizo lolote...
2 Reactions
15 Replies
886 Views
Ubaya ubwela hakuna unyonge == Mwenyekiti wa kamati ya Uenezi CHADEMA kanda ya Nyasa, Bruce Nyamwangi akizungumza katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea...
1 Reactions
2 Replies
385 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la Onesmo Simon, miaka 40, askari wa Kampuni binafsi ya ulinzi Kiwango Security na Mwenyekiti wa kitongoji cha...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa...
1 Reactions
4 Replies
788 Views
Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga...
0 Reactions
5 Replies
846 Views
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu. Akiongea na wananchi...
1 Reactions
0 Replies
418 Views
Wakuu! Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo =================== Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba...
12 Reactions
108 Replies
6K Views
JIBU Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa...
0 Reactions
7 Replies
537 Views
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la...
0 Reactions
6 Replies
603 Views
Mkurugenzi wa Shirika la Bridge for Change, Ocheki Msuva ambaye ni mtaalamu wa siasa na utawala anayejihusisha na masuala ya vijana katika eneo la ushiriki na ushirikishwaji amesema uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu. Wagombea wanapigwa risasi...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi: - Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine. - Ametolea mfano...
30 Reactions
82 Replies
5K Views
Wakuu, Haya jamani mliokuwa mnasema kuwa ACT Wazalendo ni CCM B mna salamu zenu hapa. Nimeona hivi karibuni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Jimbo la Momba, Himid Yaled Siwale amesimamishwa uongozi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, CHADEMA, ACT hola? Wagombea walienguliwa wote au nini kimetokea? CHAUMA upinzani anashinda anamshukuru Rais Samia kwa kushinda? CCM safari hii mmetisher!:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh...
3 Reactions
88 Replies
5K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Uchaguzi wa 2019 hakuna Mtu aliuawa " hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja" Hakika Shujaa...
12 Reactions
88 Replies
4K Views
Bado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa. Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom