Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye dunia ya leo, ogopa sana Mungu (kwa tunaosali) na Teknolojia. Ripoti ya CNN imeiacha Serikali hii bila nguo, aibu gani hii? Kwamba video za Sekou Toure na Mwananyamala ni halisi, na baadhi...
20 Reactions
37 Replies
1K Views
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba. Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia...
39 Reactions
171 Replies
5K Views
Mbunge wa Marekani Ayanna Pressley ametaka kufanyika uchunguzi huru na kuwajibika kufuatia vifo vya waandamanaji nchini Tanzania. Mbunge huyo alionyesha wasiwasi juu ya mwenendo wa nchi hiyo...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia. Jana kuna...
4 Reactions
23 Replies
583 Views
Msigwa, Mmeua watu sana, Mmeteka Maelfu, Mmetapanya Rasimali za Nchi hii, Mmefungis Makanisa, mnadhalilisha Makanisa. Dec 9 tutawaondoa Kwa nguvu. Miundo mbinu tutajenga Wenyewe Kwa Kiwango Cha...
0 Reactions
3 Replies
171 Views
Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, amelaani vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, akitoa pole kwa wote walioathirika na kuhimiza kudumishwa...
1 Reactions
3 Replies
205 Views
Nashauri tume ya upatanishi/maridhiano iwe HURU kabisaaa isiwe na viongozi wa siasa,dini, wala serikali na wajumbe wake watoke kila wilaya kwa jinsia tofauti hapo italeta usawa na haki si vinginevyo.
2 Reactions
6 Replies
190 Views
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini zilizo chini ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) zimewataka vijana na wananchi kwa ujumla kutumia busara, utulivu na kufuata utaratibu wa kisheria...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Tuendako jumba bovu ataangushiwa Wambura na Chal Sabufa. Kuokoa watu wasiende ICC
2 Reactions
8 Replies
562 Views
Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa. Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Kuwaita "Vitoto vya elfu mbili" sio sawa hata kdogo. Sisi wahenga tunajijua namna tulivyokuwaga waoga kupitiliza, hatukuwahi kuwa na ujasiri walionao hawa watoto
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Hakuna mwanasiasa anayesapoti mauaji na wala hatotokea ,wote watakana kuhusika ...it is done! Kamwe usijiingize kwenye vurugu na kamwe usifikiri kutumia nguvu kufanikisha jambo lako unless una...
1 Reactions
9 Replies
298 Views
Ndugu zangu, BAKWATA ni Taasisi iliyoanzishwa na Serikali na inayofadhiliwa na Serikali. Samia na Genge lao, miaka mingi sana wamekua wanapenyeza habari ya "AMANI AMANI AMANI " wakijua ndio...
17 Reactions
85 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia leo (Novemba 20) watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi wakiwa na silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti wa Wilaya ya Kyela (CHADEMA), VICTORIA SWEBE na kuondoka...
2 Reactions
11 Replies
399 Views
Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani...
2 Reactions
61 Replies
2K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
20 Replies
677 Views
Msigwa anasema wote wanaofanya chokochoko mtandaoni na kupitia kwenye vyombo vya habari lengo ni kuharibu uchumi wetu ili wao wafanikiwe. Ni sababu wanaona Tanzania inaendelea kiuchumi ndio maana...
3 Reactions
9 Replies
339 Views
Back
Top Bottom