WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama...
Musoma wa Unga: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi
Hali ya kisiasa Tanzania inazidi kuwa ya mvutano huku chama cha upinzani cha CHADEMA, hasa Musoma, Mara, kikichukua msimamo thabiti wa...
Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya...
Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma;
"Mtu...
Wakuu,
Hivi kwa hali ya siasa ilivyo sasa hivi nchini, huyu mzee hawatajaribu kuruka nae kweli? Maana hizi spana
Akiwa anazungumza kwenye mkutano wa No Reforms No Election, Slaa amesema kuwa...
Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi kimetoa msimamo wao wa kuendelea kusimamia ajenda ya chama hicho ya kuzuia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya...
Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu...
Wakuu,
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati kuepuka kushiriki katika vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu, ili...
Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje?
Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya...
Wakuu,
Hii sio kampeni kweli?
Leo Rais Samia amepiga simu live kwenye mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association ambapo Makamu wa Rais Philip Mpango alikuwa ni mgeni rasmi.
Rais Samia...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa suala la chama kutoshiriki Uchaguzi ni suala binafsi ndani ya Chama husika haipaswi kulazimisha umma kutoshiriki Uchaguzi.
Ndumbaro...
Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya...
Wakuu,
Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna...
Wakuu, haya wacha tuone leo ni nani anajiahibisha leo na kuutangazia umma anaenda kuchukua 'chai' kwa CCM.
====
G55 Morogoro kuzungumza na waandishi wa habari kujiondoa CHADEMA...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi alimwita mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Bariadi, Moga kusoma Maandiko yanayoelezea Utiifu wa Mamlaka katika Nchi
Hayo yamefanyika Katika Kikao cha Kamati...
Wakuu,
Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu.
Mei 13, 2025 viongozi na...
Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine .
Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru...
"Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.