Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Poleni na Majukumu ya leo wana JF. Hivi karibuni ilitolewa tangazo na serikali juu ya kuhakiki ajira za watumishi wa umma na wale wa mashirika ya umma ili kubaini watumishi hewa na wale wasio na...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanabodi, Hii ni thread ya swali kuhusu watu wanaoitwa watetezi wa kweli wa haki za binaadamu Tanzania, ni kina nani? (human right defenders). Haki za binaadamu ni jambo la kikatiba na kisheria...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma kuwa, baada ya siku 4 za kikao cha dharura cha Kamati Kuu, kesho chama kupitia mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, Julai 27...
9 Reactions
70 Replies
10K Views
TAARIFA YA MRADI WA MACHINGA COMPLEX 1.0 Utangulizi Mnamo tarehe 19 Aprili, 2016 ofisi yangu ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ilipokea barua ya agizo la waziri wa nchi TAMISEMI juu ya kusimamia...
15 Reactions
170 Replies
18K Views
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza kwa mda mrefu, kwa nini watalaamu wengi wanahamia kwenye siasa badala ya kuendelea na taaluma zao, na imekuwa ni uwanja wa kutafuta kipato na baadhi ya viongozi...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Katika vitendo vilivyokithiri ukiritimba na vinavyoonekana kukiuka makubaliano ya msingi ya Muungano wetu adhimu ya kuwa kila jambo linaliohusu na kugusa maslahi ya nchi zetu mbili lazima...
6 Reactions
104 Replies
9K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu),Dr.Abdallah Possi, amesema: Muswaada wa sheria ya Dodoma kuwa Mjii Mkuu wa Tanzania, utawasilishwa katika Mkutano wa...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Julai, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Frannie...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Kutokea gazeti la habari leo askari wafukuza watu kazi zao za udereva kwa kosa wanaloliita "ukaidi". Wenye ufahamu wa sheria kuna haki katika jambo kama hili? Madereva 18 wafutiwa leseni kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Redirect
Napenda kuwashauri CCM kumjenga Kichama na kuuanza kumteua Prof Ndalichako katika nafasi mbalimbali za Chama na hatimaye kuja kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi 2025 kama Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
Replies
Views
HAKIMU Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, James Karayemaha amesema, kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), itamalizika ndani ya mwezi mmoja...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Biashara: Nyumba nyingi Masaki, Osterbay zimepangwa na watumishi waserikali pale Serikali itakapo ondoka na watumishi nyumba zitapungua kodi na masaki itapungua thamani na ulizi utapungua...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Binafsi sijaona faida za kuhamishia makao makuu Dodoma hasa kwa sasa ambapo uchumi wetu siyo mzuri. Kama ni kuokoa gharama basi ni vema kama wangefikiria kulihamisha Bunge kutoka Dodoma kulileta...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mawakili wasomi mkoa wa Arusha wameandamana leo kupinga wakili Shilinde kushikiliwa na Jeshi la polisi huko Loliondo na kupinga taaluma ya uwakili kudhalilishwa. Polisi mkoani Arusha...
12 Reactions
169 Replies
28K Views
Kitendo cha baadhi ya wajumbe wa Mkutano mkuu wa dharura wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 'kuacha' kujadili mambo ya msingi ya Chama chao, badala yake kujikita kumshambulia aliyepata kuwa mwanachama...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Jana kwenye Taarifa ya habari ITV Saa mbili usiku iliwaonyesha wafanyabiashara wa Geita wakilalamika soko la Ngozi kushuka bei kwa kiasi kikubwa sana toka Tsh. 1,400 hadi Tsh.400. Kushuka kwa bei...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
LEO MH HECHE MBUNGE WA TARIME VIJIJINI AMEKABIDHI MIKATABA YA VIKUNDI VYA KINAMAMA NA VIJANA YENYE THAMANI TSH.212,500,000/= Leo mh John Heche amekutana na vikundi 118 vya Kinamama na vijana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miongoni mwa mambo yanayosababisha CCM iendelee kupoteza ni kuwapuuza watumishi wa Umma ikiwa namengineyo. Linaonekana kama jambo dogo ila amini kuwa watumishi wamebeba mnyororo mkubwa wa...
15 Reactions
67 Replies
9K Views
  • Redirect
Hivi Jk anaweza kua mvumilivu kumshinda Lowassa ambaye ametukanwa kila aina ya tusi, tena mpaka anaitwa mzogo unaotembea! Hakyanani CCM hii laana itawatafuna mpaka mtakapoisha wote...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba kuuliza, hivi kwa ambao tumeshapokea mishahara je tumeliona lile punguzo la kodi? Kama imeonekana imeonekana kwa kiasi gani au imeongezeka sawa na jinsi mishahara ingeongezwa? Kila Mwaka...
2 Reactions
65 Replies
13K Views
Back
Top Bottom