Wakili Msomi na Mfanyabiashara Maarufu Jijini Dodoma Wakili Mwesigwa Mutabuzi ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhakikisha wanakuwa sehemu ya kujenga jamii badala ya kutoa kauli zinazoweza kuibua...
Kila mkihutubia mnasema, kazi na utu, mama ni mtu mwema, mama ana utu.
Mkimaliza tu, anapotezwa mtu. Baada ya muda yuko kituo cha polisi.
Ukifuatilia ni mkosoaji. Sasa utu ni upi? Tusaidieni...
Waislamu fulani kwa kuendekeza agenda ya udini (isiyokuwa na tija) wamejipa kibarua cha kuwa wasemaji wa Serikali ya CCM ambayo imejikuta kwenye mgogoro mkubwa na Watanzania wapenda haki, kwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amewataka vijana kuepuka kujiingiza katika wito wa kufanya maandamano yaliyopangwa kufanyika...
Wakuu,
Huyu kijna anayejulikana kwa majina Aloys/Patrick, ambaye ana biashara ya duka, amepotea Mabibo Sahara juzi usiku tarehe 19 ambapo watu waliovaa kiraiya walivamia nyumba yake, kuvunja...
Wakuu
Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana
Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
CCM kwa sasa ni sehemu ya serikali kandamizi.
CCM hainaushawishi kwa sasa na haiwakilishi wananchi wa kawaida kabisa.
Imepita takriban wiki tatu baada ya mauaji ya wananchi wa kawaida hasa...
Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi...
Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Tabora limepiga marufuku wahubiri na wahadhiri wa kiislamu kutoa matamko yanayoweza kuzua taharuki kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 29 kupitia Taasisi huru, uchunguzi ambao utashirikisha wadau wa ndani na nje ya nchi na kuongozwa na...
Fedha zilizotengwa kwa ajili ya sikukuu ya uhuru zinaweza kurejesha miundombinu iliyoharibika lakini haziwezi kurejesha uhai wa vijana wetu waliopoteza maisha.
Mheshimiwa Mwigu shikamoo. Kama...
Rais najua umelala, Mimi sijalala kama kweli kwenye walioandamana Kuna walio kuwa na silaha, na wengine hawajui Kiswahili nchi haiko salama.
Rais wakati ukiwa kwenye kampeni kuna mengi Tanzania...
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Mkoa wa Mwanza umeiomba Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi kufanya uchunguzi kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa...
Kesi hii imefunguliwa na TLs kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar (Dar es Salaam Sub-registry) kupinga uhalali wa amri ya kutotoka nje (curfew) IGP Wambura tarehe 29 Oktoba 2025, ambayo...
Alianza kwa kuwateka, kuwapoteza na kuwaua kila aliyemkosoa.
Akaja kuiba uchaguzi kwa kiwango cha kutisha na kujitangaza mshindi kwenye Uchaguzi ambao bahati nzuri kuanzia Wananchi hadi...
Hakutakuwa na maandamano.
anayebisha tuwekeane millioni 1 kwa millioni 1. Never, never, never never.
Siungi mkono ukandamizaji au torture ya aina yoyote ila naandika kwa kutumia jicho la 3...
Wakuu,
Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕
==
Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.