Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais...
7 Reactions
102 Replies
17K Views
  • Redirect
Nilijisikia Kichefuchefu, kuona Masokwe waliodhaniwa Ni waalimu wampiga Mwanafunzi Kama Mbwa! Lakini Nilichefuka zaidi Nilipoona Polisi wakilaani Kitendo Kile na Kusema Ni cha Kinyama. Mimi Naona...
1 Reactions
Replies
Views
Tukiachana na matukio kadhaa Mf. Yule Kibaka Mtoa macho wa Buguruni, Walimu waliompiga Mwanafunzi kinyume na maadili ya ualimu na hata sheria za nchi ukiacha mimi niliyeamua kuandika uzi huu hebu...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
BODI ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na Menejimenti yake imeingia katika utata wa kupuuza maagizo ya Ikulu ya aliyekuwa Rais, Jakaya Kikwete, kwa kuwalinda na kuwakingia kifua baadhi ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Leo rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania amemteua balozi ombeni sefue kuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo cha diplomasia balozi ombeni sefue uteuzi wake ulitenguliwa na rais magufuri
0 Reactions
Replies
Views
Kama mnakumbuka jana Waziri Ummy Mwalimu aliitaka bodi ya Muhimbili ijieleze ni kwanini wanawatoza wanawake wanaokwenda kujifungua pale hadi shilingi laki tatu kama gharama za kujifungua pale...
18 Reactions
155 Replies
14K Views
Uchaguzi wa 2015 umepita umeacha makovu mengi umeacha sintofahamu nyingi sana. Lakini mawazo yangu ya kijinga yanafanya niamini kunauwezekano mkubwa Tulicheza ngoma tusiyoijua kwenye ule...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa bodi ya parole taifa, Augustino Mrema week hii ametembelea magereza 6 ya Dodoma akiongozana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kugundua kuwa hayo magereza yapo overcrowded kwa 16% na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kabla ya kuamishwa alikua mkurugenzi wa Kaliua Tabora. Alifuja hela za Halmashauri alivyotaka team ya Wanahabari Huru ilibisha hodi Ofisi ya Yanga African na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais Magufuli amemteua Balozi Ombeni Sefue kuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo cha Diplomasia na balozi Ladislaus Komba kuwa mwenyekiti wa bodi ya ukumbi wa mikutano ya kimataifa AICC Arusha Pia...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Waheshimiwa, kama tunavyosikia ni kweli mmechukua hatua hizo, mmefanya kosa kubwa, violating one of the cardinal principle of NATURAL JUSTICE! YOU HAVE CONDEMNED THE ILL- FATED TEACHERS UNHEARD...
0 Reactions
Replies
Views
Imani iwe kwenu Wakuu! Baada ya mdau moja kuleta uzi leo kuhusu BRELA Kwanini Rais Magufuli hataki kutumbua jipu la BRELA? , naomba nisaidie kuweka record sahihi. Mnyonge mnyongeni, lakini haki...
3 Reactions
50 Replies
9K Views
  • Redirect
Rais Magufuli atimiza ahadi yake kwa Balozi Omben Sefue Rais Magufuli atimiza ahadi yake kwa Balozi Omben Sefue - MUUNGWANA BLOG
1 Reactions
Replies
Views
Ni jambo ambalo nimelifuatilia kwa Kina toka Rais Magufuli aingie Madarakani, naona Wabunge wanaotokana na Chama Tawala (CCM) wamekuwa mabubu, hawana la Kuongea. Wao kila Kitu wamemtegemea Rais...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Redirect
leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais mstaafu JK mpe neno lolote la kumtakia mema katika siku yake hii adhimu
0 Reactions
Replies
Views
Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF...
3 Reactions
72 Replies
6K Views
Kumekua na Sintofahamu Juu ya ununuzi wa korosho mwaka huu. Kutokana na utaratibu wa ununuzi wa korosho inasemwa kwamba mkulima atakwenda kuuza korosho zake galani lakini pesa atakwenda kupokelea...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Redirect
Ktk awamu ya nne kulikua na teuzi nyingi sana za kuridhishana kidini badala ya kuzingatia utendaji kuna watu hata wa dini yangu waliteuliwa kwaajili tu ya kuturidhisha dini yetu huo ni udhaifu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Raisi wetu kwa kuamua kuhamasisha uwekezaji wa ndani. Wakati wa kugombea vitalu vya gas kuna kejeli ilitoka kuhusu wawekezaji wetu lakini jana...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom