CUF Mtwara na Lindi: Mbowe asiingilie mambo yetu

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii.

Video hii hapa.

My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.

Huyo anaongea lakini hajatafakari
Mbowe na Tundu Lissu walimjibu Lipumba baada ya yeye kuihusisha CHADEMA kuimaliza nguvu CUF, na pia alisema CUF inaminywa na CHADEMA kwenye UKAWA sasa hapo wangeacha kumjibu?
Na Lipumba anataka CUF ijitoe UKAWA ambayo iliingia na CUF, which makes it CHADEMA's business
 
wajumbe wa kamati kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati chadema ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii.

video hii hapa.
My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.

NAWASHUKURU SANA WATU WA KUSINI KWA KUTAMBUA KIINI CHA MGOGORO WA CUF.CDM NDIO KIRUSI WANATAKA CUF IWE CHINI YA KIBARAKA WAO MTATIRO ILI WAWEZE KUIUA KIRAHISI.MBELE YA LIPUMBA HAWAWEZI .WANACUF WENYE MAPENZI MEMA WALIONE HILI.
 
Wajumbe wa Kamati Kuu CUF Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara, wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutoingilia mgogoro wa chama hicho kwani wakati CHADEMA ikiwa na migogoro CUF huwa hawaingilii.

Video hii hapa.

My take: Mbowe acha Lipumba ajenge CUF yake wewe kweny CDM huingiliwi.

Hajaingilia cuf, kaongea kuhusu ukawa
 
Back
Top Bottom