Ninyi mnajua kuwaua watoto wa watu halafu mnajisifu. Mliua ndugu zetu kama mbwa. Mlitisha sana, mkajiona hamfi, hamuguswi, na kwamba nyinyi ndiyo mna bunduki. Lakini mtajua tu.
Tukitoka mkatuue...
Hii ndio serikali pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi badala serikali ianze kutekeleza majikumu ipo kwenye vita na wananchi na dunia
Tulisema kujitangaza na kujiapisha haitobadilisha kitu, bali...
1. Ukiweza kukwepa kodi kwepa hakuna uzaledo katika nchi hii
2.Bidhaa yoyote za wahuni usinunue kabisa kwao
3.Usifanye biashara yoyote na wao, magari yao,sheli zao ,vinywaji vyao,vyakula vyao ...
Walicho nifurahisha Ulaya ni kusimamisha misaada kupitia mikononi mwa serikali haramu lakini mashirika yataendelea kupata misaada kama kawaida.
Hakuna misaada itaingia kwa serikali pesa zote...
Wakati tunawashukuru wote waliosimama na kupaza sauti zao juu kuhusu mauaji ya waTanzania waliouliwa kikatili sana wakitafuta HAKI mbalimbali za msingi mwezi Oktoba 2025; ni wakati sasa...
Samia kwa sasa ulitakiwa uwe unajutia kwa haya yote yaliyotokea.Wote tunajua haukubaliki tena kama raisi wa hii nchi basi acha kujidanganya kwa hio mipango yako miovu
Watanzania msione serikali...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Professa Kitila Mkumbo (CCM) leo Novemba 22, 2025 ametimiza ahadi ya kukabidhi mashine za...
Watanzania kama kuna kitu ambacho mnatakiwa kuamini bila kuona kama jinsi mnavyoamini uwepo wa Mungu bila kumwona (kwa wale wanaoamini Mungu) basi aminini kuwa kuanzia December 9 hakutakuwa na CCM...
Najiuliza ikiwa mode of operation ya viongozi wetu ni kuukataa ukweli uliodhahiri na kupoteza muda kwenye uongo na.uzushi utamaduni huu umwfanyika kwa muda.mrefu kiasi gani.
Ukisikiliza hoja...
Kutokana na kuenea kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa maandamano awamu ya pili yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Paschal...
Muna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi...
Baada ya kusoma mashitaka waliofunguliwa katika Mahakama ya kimataifa ya ICC, huu ndio ukweli wanaokwenda kukabililiana nao na hapo sijataja kosa la kuwaondoa wamasai kwa nguvu kule Loliondo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha...
Wachungaji, mashekhe na ndugu zangu GenZ na wazazi wetu, CCM na genge lao wametuua na wamekunywa damu zetu na bado wanaendelea kunywa damu zetu kupitia ukatili na dhuluma wanaotufanyia.
CCM na...
Hamjambo!
1. Ni Makosa kuamini watu wa nje wanaweza kutupenda kuliko tunavyopendana wenyewe kwa wenyewe. Hilo ni kosa.
2. Nitazungumza kisaikolojia alafu nitachanganya na siasa kidogo. Ambapo...
Alikwenda Washington DC. Akaonana na dada wa taifa. Tukawa na matumaini makubwa. Eti anaifungua nchi. Na kuachana na yote ya Magufuli. Leo kiko wapi? Mpaka wanawindana kukamatana 😂
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu, kwa mujibu wa Katiba na sheria, tayari umeapishwa kuongoza nchi. Hata hivyo, katika sayansi ya siasa (wasomi watanirekebisha), kuna tofauti kubwa kati ya "Legality"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.