Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimekanusha madai yaliyotolewa na baadhi ya waliokuwa wanachama na viongozi wa chama hicho, ambao hivi karibuni walitangaza kujiondoa, wakidai...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili...
Wakuu,
Majuzi Rais Samia alivyochamba 'wanaharakati' waliokuja kwaajili ya uangalizi wa kesi ya Lissu, aliviambia vyombo vya dola vichangamke katika kutoa majibu pale madai yanapozuka lakini pia...
Ikiwa imebaki miezi mitano kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Vijana nchini hususani wanavyuo wametakiwa kuwa mstari wa mbele kudumisha amani na utulivu na...
Ile Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini.
Hii hapa ni Ratiba kamili
Sisi CHADEMA ,tunamtaka Mabadiliko , hatutaki mbeleko, tunataka tushinde Kwa Haki na tushindwe Kwa Haki.!!.
Hivi ACT Wazalendo, SAU, TADEA, ADC, AFP, DP, UPDP, UDP, NCCR? ina maana nyinyi mnaona...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
SERIKALI KUJENGA GHALA LA KUHIFADHI TUMBAKU -KALENGE BIHARAMULO.
Bajeti ya wizara ya kilimo inayoendelea katika mjadala bungeni Dodoma inajibu swali na shauku ya muda mrefu ya kujenga ghala la...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, dhidi ya wanaharakati yalikuwa...
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amegawa matofali 41,000 na mifuko ya saruji tani 102 (sawa na mifuko 2,050) kwa kata zote 41 za jimbo hilo kwa...
Wakuu!
Hawa Chawa wa Rais Samia wanajitahidi sana kufosi mambo ili ionekane Rais anapendwa 🤯
==
Generation Samia kwa kushirikiana na Umoja wa Machinga Dar es Salaam wameandaa Kongamano kubwa...
https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 21, 2025.
Kikao hicho kimeitishwa kipindi ambacho chama hicho kinapitia misukosuko...
Wakuu,
Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa
=============================
Serikali ya Kenya kupitia...
RESILIENCE ni USTAHIMILIVU
Kwenye 4R za Rais wetu, “R” moja inahusu USTAHIMILIVU yaani kwa Kijaluo, RESILIENCE. Kwa sasa marubani wetu wa nchi, niwasihi zimeni “R” zote, bakizeni RESILIENCE...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa tukio la tarehe 02 Mei, 2025 la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Mpaluka Said Nyagali maarufu Mdude Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuelekeza kura zao zote kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Uchaguzi...
Wakuu!
Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.