Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote...
4 Reactions
14 Replies
529 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na...
6 Reactions
136 Replies
4K Views
Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa...
15 Reactions
28 Replies
1K Views
Biashara ya ujinga ndo imetajirisha watu hapa Africa The same person anachukua madini yako at lowest price Ila anarudi na msaada wa Vyandarua na Condoms na unampigia makofi na kuamini Una deni...
4 Reactions
35 Replies
569 Views
Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza . Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani...
3 Reactions
5 Replies
205 Views
Mwenye taarifa sahihi atujuze. Kama kikosi kimeshalamba bahasha za dolari kutoka kwa Mfalme ili tuuze match Jumapili atujuze.
0 Reactions
8 Replies
241 Views
Nchi yetu inaonekana kukosa mifumo thabiti ya uwajibikaji, jambo linalosababisha watu wachache kuwa na mamlaka makubwa kupita kiasi bila kuwajibishwa ipasavyo. Mwisho wa siku, athari zake...
5 Reactions
36 Replies
895 Views
Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
2 Reactions
2 Replies
183 Views
Kuna kitu kinaitwa combustion! Halafu kuna combustion chambers! Piston rings kwenye engine zikilegea engine itapiga kelele na kukosa nguvu .. Kwa maana ya kwamba combustion haitafanya kazi...
12 Reactions
26 Replies
786 Views
KUSITISHWA KWA SAFARI ZA TRENI YA SGR DAR ES SALAAM–DODOMA Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone Hivi karibuni, Shirika la Reli Tanzania TRC limethibitisha rasmi kusitishwa kwa muda usiyojulikana...
3 Reactions
2 Replies
331 Views
1. Humphrey Polepole. Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge. 2. Geoffrey Mwambe. Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge. 3. Daniel Chonchoriro. Mjumbe wa mkutano mkuu CCM. 4...
5 Reactions
8 Replies
541 Views
MHASIBU Mkuu wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mbogo Alexander Munubi, amefariki dunia ghafla tarehe 28 Desemba 2025, mkoani Dodoma. Mipango ya mazishi inaendelea kuratibiwa kwa ushirikiano...
10 Reactions
59 Replies
1K Views
..nadhani IGP Sirro anapaswa ku-step back na ku-access "kamba imekatikia" wapi. ..mahusiano yake na CDM kwa ujumla siyo mazuri na hali hiyo inaletea TENSION nchini. ..mimi namshauri akutane na...
12 Reactions
45 Replies
4K Views
Hawa jamaa wanadai kuwa mauaji ya Octoba 29 yalipangwa wiki kadhaa kabla ya tukio. Wanaongeza Kuwa maiti zilitupwa ziwa viktoria...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Wale raia waliokuwa na silaha na wakichangamana na polisi kukamata mashabiki wa Chadema wametokea wapi? Nani amewatuma? Je, ni salama kwa shughuli za Jeshi la Polisi kufanywa na raia waliobeba...
7 Reactions
107 Replies
14K Views
Si mseme tu Kwamba mlifunga kanisa ili kuhakikisha huyo Shetani anakuwa Rais, Sasa hivi hata akihubiri siasa madhabauni mbona hamlifungii tena. Hii Serikali na huu utekaji na uuaji wanaona...
1 Reactions
4 Replies
209 Views
Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa. Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana...
2 Reactions
6 Replies
200 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa suala la kuahirisha safari za treni au ndege kutokana na hali ya hewa ni jambo la kawaida, hata katika nchi...
2 Reactions
39 Replies
854 Views
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda lililopo Mkoani Morogoro. Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dkt. Mwigulu amesema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…