Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinga Meza Kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka...
Huyu jamaa ni kama Lucas Mwashamba wa bei ya jioni
Hivi toka ameanza kujipendekeza kwa watawala ashawahi kupata nini?
Nauliza tu kwasababu kila baya la serikali likiibuka basi atatoka na uzi wa...
Na Malisa GJ
. Kikosi maalumu cha jeshi la Marekani (Delta Force), kimetumia dakika 124 tu (masaa mawili na dakika 4) kutua Ikulu ya Venezuela (Palacio de Miraflores) na kumnyakua Rais Nicolás...
Wanalalamika kuwa oh sovereignty ya Venezuela imekiukwa.
Madulo alikuwa haheshimu sovereignty ya watu wake, why dunia yenye akili iheshimu sovereignty yake? Unaua watu uili ubaki madarakani...
Kinachoendelea Venezuela chaweza kuwa kutisha mahayatollaj wa Iran ak kuiandaa dunia kwa anguko la serkali ya kikatili ya Iran. Waiting na Idi Amin Mama angekuwa kwenye kundi hili. Achunge...
Kipimo cha akili na uelewa ni pamoja na kutambua wanaokuzidi uwezo na uwezo wao. Ni SWALA mpumbavu atamwona Simba na ataenda kucheza akitikisa makalio yake mbele ya Simba . Si ushujaa ni upumbavu...
Kazi iendelee...
Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua...
Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani.
Kila siku—kwa ari na dhamira...
Wakuu
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na...
Wakuu!
Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni...
Ndugu Wana ukumbi,
Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?
Wakati wao huapa...
Wakuu,
Haki mwisho wa siku hupatikana hata kama itachelewa.
Huyu Maduro wananchi wake walikuwa hawamtaki na ilikuwa watu wakiandamana yeye response yake ni kuua waandamanaji ikiwemo WATOTO wa...
Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katiba ya Chama cha Mapinduzi, Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu...
https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9
Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe...
Wakuu!
Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.
Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali...
Wakuu
Kila siku nasema humu. Wachina ni matapeli.
Nakumbuka wakati wa uzinduzi wa Ilani ya CCM mwaka jana CCM walijaza Warusi, Wachina na Wakorea Kaskazini kwenye mkutano wao.
CCM ilisema...
Habari wakuu
Nilikuwa Offline kwa muda niliporudi nimekutana na zuio la kibiashara kwa raia wa kigeni machoni, nimewaza sana, unajua ninyi mnaokaa Dodoma hamjui changamoto ya haya maamuzi.
Mungu...
The Venezuelan people are today rid of Nicolás Maduro’s dictatorship and can only rejoice.
By seizing power and trampling on fundamental freedoms, Nicolás...