Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mfungwa wa Kisiasa ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani akiwa jela, Baada ya Mapumziko mafupi, Hatimaye ameanza kazi Rasmi PIA...
1 Reactions
15 Replies
830 Views
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha...
23 Reactions
135 Replies
4K Views
Mchungaji Agnes Mangala wa KKKT Usharika wa Highlands ametoa wito Kwa Wananchi wote kujiandikisha Kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa Mchungaji Agnes Mangala amesema kila mwenye umri wa...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM Sabato Njema 😄
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Ukiangalia mwitikio wa watanzania kujiandikisha." Inachekesha sana. Utaona wazi kwamba hata wajinga wameanza kujua kinacho endelea baada ya uchaguzi/uizi wa kura. Ukimya wa Watanzania...
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakuu.. Najaribu kuwaza kwa sauti hapa. Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa. Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila...
0 Reactions
6 Replies
450 Views
Hebu Someni wenye muelewe na Mtueleweshe na sisi wengine wenye Vichwa Vigumu
2 Reactions
11 Replies
750 Views
Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
PIA SOMA - LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyama vingine baada ya wanachama wao kugoma kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na kudhibitiwa na polisi, wame nyong'onyea, wamesinyaa na wamekua kama wamepigwa ganzi hivi, Lakini pia...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Chadema wanishawishi, maana naona iwe jua iwe mvua ccm itashinda. Sasa waniashawishi. 1. Hawatalalamika kama kura zao zimeibiwa? 2. Watazilinda kura zao? PIA SOMA - LGE2024 - CHADEMA ikikomaa...
0 Reactions
3 Replies
328 Views
CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki...
5 Reactions
19 Replies
817 Views
Wanawake, Umeshajiandaa kugombea nafasi za uongozi au mnasubiri mseme ningekuwa mimi ningefanya hivi, au haya mawazo yanatuumiza Wanawake au haya maamuzi hayawagusi wanawake? Huu ndio muda...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Walimu wanatia huruma katika hivyo vituo. Serikali ijitafakari. Mwisho.
8 Reactions
95 Replies
4K Views
Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo. Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu...
4 Reactions
8 Replies
544 Views
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha: 1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko. 2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza...
5 Reactions
11 Replies
650 Views
Back
Top Bottom