Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya...
Mbunge wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya katika Uchaguzi...
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa...
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.
Akaahidi boti za uvuvi kwa kila...
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi...
Tunamjua Mwakyembe alisimama imara kuwapinga Mafisadi kina Lowassa na Rostam
Tunamjua Mwandosya, alimpiga spana Jiwe na kuweka msimamo dhidi yake pamoja na Jiwe kumbananisha sana
Tunamjua Sugu...
Wakuu,
Nilikuwa napitia CVs za wabunge leo. Kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu huyu Mbunge wa Eric Shigongo.
According to his CV huyu mwamba alisoma Gedeli Primary School kuanzia 1977 had...
Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma...
IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa...
Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?
Kuna haja...
Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi.
CCM Wana Hela za kutosha...
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu...
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni...
Rais Samia katika ziara zake anazofanya amezoea kusifiwa kila anakopita, hali inayojenga taswira kuwa hapendi kuchalenjiwa au kuulizwa maswali magumu kuhusu utekelezaji wa maendeleo. Katika hali...
Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti...
Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla.
Lakini shuhuda ametoa...
Leo wamekubali bila chenga kuwa wamefungia X sababu ya maudhui ya ngono! Kampeni ya CCM kutaka kufungia mitandao kabla ya uchaguzi inaenda kutimia.
Ila😂😂🤣 kwahiyo na Insta inafuata, Youtube...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.