Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah?
Ndio anatafuta teuzi kwa...
Ni kichaa tu atakayewaunga mkono Kwa matamko yenu yasiyotoa suluhisho Kwa tatizo la utekaji.
Ni Machawa wenu wasio na impact mliowaswaga wamjibu Gwajima Kwa Jambo ambalo wananchi wote wanaliona...
MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu...
Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu...
Martha Karua umetuagusha wanawake tunaolilia kupata nafasi nyingi za uongozi. Wewe unadandanywa na wanaume unaenda kufanya vitu visivyostaili ujatuheshimisha kama wanawake.
Umesahau kwamba Rais...
Tunafahamu kwamba ili upate uteuzi kwa serikali ya CCM unapaswa kujipendekeza kwa kiwango cha kutia aibu bila kujali namna utakavyodhalilisha familia yako, Yaani ili Mamlaka ya Uteuzi ikuone...
Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amewataka wanasiasa kuwa na ahadi zinazotekelezeka katika kipindi cha kampeni ili kuwaondolea shinikizo kubwa. Akizungumza leo Mei 26, bungeni jijini Dodoma...
Katika Biashara huwa kuna Aina mbili za bidhaa kwa upande wa mauzo na masoko.
Kuna bidhaa zinazotoka sana au huitwa
Fast Moving products
Pia huwa kuna bidhaa zinazotoka taratibu Sana huitwa...
Wakuu,
Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu leo bungeni amemtaka Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko kufuata taratibu za bunge ikiwa ana tatizo lolote na...
Wakuu,
Kwenye press yake leo, Jerry Muro amesema kuwa Gwajima aache kutengeneza "drama" na kwamba anapaswa kutambua kuwa kwa sasa wako kwenye kipindi cha Uchaguzi.
"Ningependa kukwambia kuwa huu...
Wakuu,
Akiwa anamjibu Askofu Gwajima siku ya leo, Jerry Muro amesema kuwa vitendo vya utekaji Tanzania havijaanza leo na kwamba kuna kipindi katika nchi hii kuna hadi mawaziri walikimbia nchi...
Wakuu kuna mambo yanafurahisha sana kama ni uchawa basi tumefika pambaya sana
Kuna baadhi ya Mambo hata CCM yenyewe inatushangaa maana imetupa nafasi alafu tunachofanya no TOFAUTI na ilichotutuma
Baada ya Gwajima kuwapiga za chembe, hakuna media yoyote ukiacha "THE CHANZO" walioripoti Ile issue but baada ya empty headed baboons kuanza kujibu, naona kila media imeripoti "majibu" kwa...
Wana siasa uchwara walinyamaza kipindi mauaji na utekaji ukipamba moto.
Walinyamaza kwakuwa waliotekwa hawakuwa ndugu zao,hawakuwa na sababu ya kuwasemea pengine waliona waliotekwa au kupoteza...
Hii inaitwa ikisimama Nchale, kukimbia Nchale! Mziki wa Gwajima mnaujua, Gwajima ni Lijabali likuuuuubwa sanaaaa. Hoja za Gwajima ni za Kweli na Haki.
Sasa watumeni Akina Steve Mangele, Mafufu...
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa...
Nimeulizwa na wengi iwapo nitagombea Ubunge au nafasi yeyote ya kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 na haya ndiyo majawabu yangu.
1.Kipaumbele changu cha kwanza kwasasa ni kupigania utawala...
Aendelea kuwakumbusha Wananchi wa Chalinze kuchangamkia mikopo inayoendelea kutolewa na Halmashauri hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini.
Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini.
Uzi huu utakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.