Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo asubuhi The Chanzo wameondoa press ya Gwajima YouTube wakiweka wazi kuwa wametakiwa kuondoa story hiyo na TCRA sababu press hiyo imekosa 'Mizania', hawakulance kwenye namba ya watu waliotekwa...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Leo Mei 27, 2025, The Chanzo imepokea wito kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhusu maudhui ya video tuliyochapisha katika chaneli yetu ya Youtube, ambayo ni mkutano na waandishi...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli. Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote...
11 Reactions
81 Replies
3K Views
Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Eugene Kabendera ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya chama hicho baada ya kulitumikia kwa miaka 13. Kabendera, ambaye aliwahi kuwa...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Nimepita kuangalia vichwa vya habari vya leo kuona kama kuna aliyeweka habari ya Gwajiboy Askofu Gwajima kujilipua jana, kama nilivyotarajia hakuna aliyefanya hivyo. Magazeti yamejaa habari za...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
8 Reactions
70 Replies
4K Views
Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea. Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya === Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia...
13 Reactions
167 Replies
8K Views
Kwa wenye akili tumemuelewa Gwajima. Kwa maneno yake ukimsikiliza neno kwa neno utaelewa kuwa kwa sasa kuna kikundi kinachowajibika kwa Rais tu ambacho kinafanya vitendo vya Utekaji na Mauaji ya...
38 Reactions
87 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ndugu Othman Masoud Othman (OMO) amesema kuwa “Kama tunataka mageuzi katika nchi hii hatuwezi kukaa kitako tukafunga...
4 Reactions
9 Replies
910 Views
Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Askofu wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika, Mhashamu Emanuel Bwatta amekemea vitendo vya makanisa kutumika kwa ajili ya shughuli za kisiasa hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, leo Mei 27, 2025, wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu jijini Dodoma, ameeleza wasiwasi...
0 Reactions
4 Replies
538 Views
Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Mheshimiwa Cecil David Mwambe, amesema kuwa hadi kufikia sasa, utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020 umefikia...
0 Reactions
1 Replies
296 Views
Mwisho anasema, MONEY TALK!!. Hawa ndio Wabunge ambao ,ukiwaambia Tunataka Katiba Mpya, Na Mabadiliko TUME huru ya Uchaguzi, wako tayari kukutafutia Genge la Kukuteka. Na hii Sasa ndio CCM...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, na Mbunge wa Mlalo ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CCM Bungeni Rashid Shangazi, wamepongeza uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
"Mfano huyu kibao, Unajisikiaje kama baba yako anashushwa kwenye gari halafu anakutwa amekufa" "Kuna huyu Mdude, kama mume wako anakuja kuchukuliwa nyumbani halafu mpaka leo haonekani...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati Emmy Kibatala amesema kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujawateteresha...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
7 Reactions
5 Replies
562 Views
Kwa muundo wa Baraza la Mawaziri la sasa naona kuna haja kubwa ya kufanya maboresho ili kuziweka pamoja sekta zinazohusiana na kupungunza wingi wa Wizara usio na tija lakini pia baadhi ya sekta...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom