Wana Jukwaa,
Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa...
Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi.
Tanzania tuna kitengo cha jeshi kinaitwa Polisi ambacho kazi yake kubwa sio kusaidia jamii kwenye mambo ya sheria bali kufuata maagizo...
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani.
Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama...
Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN Fact-Finding Mission on Venezuela, 2025) inaonesha kuwa maelfu ya watu wameuawa kinyume cha sheria nchini Venezuela, wengi wao wakiwa wafuasi wa vyama...
Kuna watu wanashangazwa na harakati za baadhi ya wana CCM kutumia wanaojiita waumini wa Dhehebu la kikatoliki, kupambana na Padri. Charles Kitima.
Kilichoko nyuma ya harakati hizo si vita dhidi...
Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki uchaguzi wa madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro...
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na...
Mwambieni achukue Majenerali wake wengi wote wapumbavu na machawa apige nao picha. Siku ya mwisho hayatamsaidia. Damu za ndugu zetu alizomwaga lazima zipate haki yake.
Mwambieni hata ahonge...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa jeshi letu la polisi. Wewe kama ni mmoja wa wale wenye allergy na pongezi zozote kwa awamu hii ya tano, naomba nikushauri, uishie hapa ili tusiharibiane...
Hii tabia imekithiri inatutesa sana wazazi maana unakuta mtoto ni STD 4 au STD 7 shule wanajipangia utaratibu wa kuwafundisha mpaka JUMAMOSI hii inatutesa sana wazazi maana heka heka utafikiti na...
Mmoja wa waumini wanaokadiriwa kufikia 100 waliokwenda kuwashitaki Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa’ichi, O.F.M. Cap., pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu...
Hivi karibuni, mchambuzi wa masuala ya kibiashara na mikakati ya uwekezaji Vusi Thembekwayo ametoa uchambuzi mzito kuhusu hali ya Tanzania baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Vusi, ambaye amekuwa...
Taarifa zinazosambaa kama moto wa nyikani zinaeleza kwamba Majina ya Wakatoliki feki yameanza kuvuja., Yumo Kidawa wa Mwananyala Komakoma akiwa kavalia kijora cha njano (kumbuka kwamba Wakatoliki...
madola 5 ya kijeshi, yakiwa na maelezo ya mwaka yalipoanza kutawala kwa nguvu na mwaka yalipoporomoka:
1. Dola la Roma (Roman Empire)
Mwanzo wa utawala wenye nguvu: 27 KK (chini ya Augustus...
Adolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki...
Napata picha mbaya sana ya hii chuki.
Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru.
Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe.
Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu...
GT
Wameturahisishia sana. Tutaanzia.hapo airport kudai miili ya vijana wetu waliouawa na samia.
Hatuwezi kukaa kimya kwa drama za kipuuzi. samia must go