Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa. Si mtaratibu...
4 Reactions
168 Replies
6K Views
Hakika leo umenifurahisha sana mtumishi wa Mungu askofu Gwajima. Hii ndio asili Yako ya kutetea haki, utu, uzalendo, taifa. bila shaka watanzania wote wamefurahishwa sana na hiki ulichokifanya...
3 Reactions
7 Replies
721 Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu nilipokuwa mdogo nilikuwa nawaona wabunge ni watu wa maana sana, wenye akili sana ambao mpaka wanafika bungeni basi ni vichwa kwelikweli, kuanzia darasani hadi kwenye ufahamu kwa ujumla na...
15 Reactions
55 Replies
2K Views
Seneta mmoja nchini Kenya ameeleza kuunga mkono hatua ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwapiga marufuku wanaharakati kutoka Kenya. Samson Cherargei, seneta wa kaunti ya Nandi...
2 Reactions
6 Replies
769 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika...
0 Reactions
8 Replies
800 Views
Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika amesema Rais Samia amefanya kazi nzuri kwenye kiwango cha kustahili alama “A+” katika kipindi cha uongozi wake. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
0 Reactions
5 Replies
365 Views
Wakuu, Aisee ni inasikitisha na kutia hasira kwa vitendo hivi vinavyosimuliwa, kwa mara ya kwanza tumesikia mambo machafu yanayoelezea ukatili wa kutisha zaidi ya kipigo kilichozoeleka...
23 Reactions
210 Replies
12K Views
CCM imesomba vijana mitaani na kuwaweka mbele ya vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia haibu sijui ulaya na dunia itakapoona itakuwaje ? Nina asilimia kubwa kuwa hawa vijana...
3 Reactions
3 Replies
440 Views
Serikali ya Samia Suluhu iko vitani dhidi ya chama chetu. Walimkamata Mwenyekiti na kumpa kesi ya uongo. Walifungua kesi ya uongo kutumia viongozi wa zamani kutoka Zanzibar. Sasa msajili ambae...
16 Reactions
14 Replies
852 Views
Mtego ulio tengenezwa ni kwamba CHADEMA wakiitisha tu mkutano wa Balaza kuu basi wamiesha, yaani hao viongozi wa Balaza kuu la CHADEMA watapitishiwa pesa za kutosha na either wafanye yafuatayo...
3 Reactions
8 Replies
767 Views
Huyu Hapa ni Dkt Slaa akifundisha wananchi somo la haki na Demokrasia. Kwa Kauli moja wananchi wote wamekubaliana kwamba bila Reforms hakutakuwa na uchaguzi
14 Reactions
26 Replies
2K Views
GWAJIMA ANAMAANISHA KWELI KUPAMBANA NA UTEKAJI AU ANATAFUTA USHUJAA MITANDAONI? Anaandika Spesho Kabwanga. Askofu Gwajima kwenye speech yake ametaja Neno RAIS si chini ya mara 42, Neno USALAMA...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani...
4 Reactions
168 Replies
7K Views
Wakuu Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook == Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo === "Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi...
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa...
2 Reactions
0 Replies
351 Views
MRADI WA KUCHIMBA VISIMA KATIKA BAADHI YA MAENEO-BIHARAMULO. Wakati wakazi wa maeneo tofauti tofauti wilayani biharamulo wakisubilia kwa hamu kubwa mradi wa maji wa ziwa victoria bado mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
My Take 1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka. 2.Ujumbe Kwa mabwana zao 3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi. 4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki...
-4 Reactions
52 Replies
3K Views
Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha. Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema. Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
19 Reactions
81 Replies
7K Views
Back
Top Bottom