Wakuu,
Haki mwisho wa siku hupatikana hata kama itachelewa.
Huyu Maduro wananchi wake walikuwa hawamtaki na ilikuwa watu wakiandamana yeye response yake ni kuua waandamanaji ikiwemo WATOTO wa...
Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katiba ya Chama cha Mapinduzi, Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu...
https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9
Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe...
Wakuu!
Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.
Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali...
Wakuu
Kila siku nasema humu. Wachina ni matapeli.
Nakumbuka wakati wa uzinduzi wa Ilani ya CCM mwaka jana CCM walijaza Warusi, Wachina na Wakorea Kaskazini kwenye mkutano wao.
CCM ilisema...
Habari wakuu
Nilikuwa Offline kwa muda niliporudi nimekutana na zuio la kibiashara kwa raia wa kigeni machoni, nimewaza sana, unajua ninyi mnaokaa Dodoma hamjui changamoto ya haya maamuzi.
Mungu...
The Venezuelan people are today rid of Nicolás Maduro’s dictatorship and can only rejoice.
By seizing power and trampling on fundamental freedoms, Nicolás...
Clayton Chipando almaarufu kama Babalevo, aliyekuwa mtiania na mgombea wa ndani wa Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kigoma Mjini amejiharibia. Kama ulikuwa ni mtego, umemnasa.
Kitendo chake cha...
Hapo vip!
Kwa mauwaji ya kishetani na yakidharau yaliotokea oct.29 na 30 lazima wahusika nao, wateswe na kuuwawa vile vile.
Ameuwa kwa upanga naye auwawe vile ni mtu mbaya sana huyu...
Wakuu,
Nimekutana na video ya huyu wakuitwa mwanaharakati huru, Ahmed Kombo, akimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Kombo amesema kuwa Heche hana haki ya kulalamikia uchaguzi...
Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao.
Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za...
Copy and paste:
Imagine muujiza alioufunya Mungu kwa Wavenezuela. Wameuwawa, wametekwa, wamefirwa,wamefungwa ila just one night wanaamka asubuhi yule aliyewafanyia hayo yote kwa miaka mingi sio...
Hii ipo wazi shujaa yoyote yule ambae anajitoa kupambania taifa lake ili kulinda taifa lake alafu inatokea anafariki kwa utata kiasi cha kila mtu kutoamini kama alifariki kwa natural death damu...
Dkt. Godfrey Malisa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ambazo zote zimepangwa kutajwa tena Januari 16, 2026 baada ya kuahirishwa jana, Januari 2, 2026;
- Kesi ya...
Miaka 17 iliyopita Mwigulu akiwa Naibu Katibu mkuu wa CCM alitengeneza kesi ya kuifuta Chadema akashindwa, alinaswa akionga watu Pesa msikilize Tundu Lissu, Miaka 17 baadae Mwigulu anakuja na...
Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki
Trump
Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa...