Kesho, zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linafikia tamati.
Leo, nikiwa na muda wa kutosha nyumbani, niliona ni vema kuzunguka vituo vya kujiandikisha vilivyopo katika...
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya zoezi la uchukuaji fomu za kugombea uongozi wa Serikali za mitaa kuanza, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametangaza kuwa uongozi wa sasa...
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata...
Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala...
Falsafa ya 4R's (Maridhiano, Uvumilivu, Mageuzi, na Ujenzi Upya (MUMU) ina manufaa makubwa katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hasa inapohusisha uwazi na ushirikiano wa vyama vyote...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameelekeza madaraka ya wenyeviti wa vijiji, wajumbe wa Halmashauri za Vijiji na Wenyeviti wa...
Kwa sasa, Tanzania iko kwenye mchakato muhimu wa uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini hali ya mambo inazua mjadala mkubwa. Kila kona ya nchi, kunasikika...
Vurugu kubwa zimetokea katika mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni kati ya msimamizi wa uandikishaji wa mtaa huo na wakala wa chadema na baadhi ya wananchi baada ya msimamizi huyo kutaka kumtorosha...
Salaam, shalom!!
Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali"
Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimewaasa wananchi kutosusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji kwa kuwa kura zao ndizo zitakazoamua aina ya viongozi na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kuacha malalamiko yanayohusiana na uandikishwaji wa wanafunzi...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeipa Serikali ya Tanzania siku 14 kuwasilisha majibu na kiapo kinzani katika shauri la kupinga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024.
Uchaguzi huo...
Inawezekana kutokana na mama kuwa chaguo la mungu kwa mara ya kwanza mwaka huu tumebahatika kupata watoto waliotimiza umri wa miaka 18 na wanasoma shule moja darasa moja, mungu mkuu na lolote...
Hamasa na shauku ya wasomi hawa vijana wa shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu wenye sifa na vigezo vya kujiandikisha na hatimae kushiriki zoezi la maamuzi kupitia sanduku la kura, unadhni...
Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini....
1. Watoto chini ya...
Mzozo mkubwa umeibuka katika kituo bubu cha uandikishaji wapiga kura huko Vunjo, Kilimanjaro ambapo madai ya uandikishaji holela wapiga kura yameibua hasira na maswali mengi miongoni mwa wananchi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi...
NGARA: MICHE YA KAHAWA YAGAWIWA KWA WANANCHI WILAYANI - NGARA
Mhe. Ndasaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara amefika kwenye vitalu vya Kahawa na kushuhudia ugawaji wa Miche hiyo katika...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ameendelea na ziara yake ya kuangalia jinsi huduma za uandikishaji wa wananchi wenye sifa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.