Wabunge 19 Walioingia Mgogoro na CHADEMA Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wabunge waliokuwa sehemu ya mgogoro wa kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa wamegawanyika katika...
"Ni mwanachama wa CCM, lakini nimepata mualiko wa katibu mkuu. Wote ni mashuhuda wa kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi katika kusimamia ilani ya michezo na mafanikio yote...
Je, kutopewa kibali cha helicopter na uwanja kwa CHAUMA kule mwanza ni mwanzo wa figisu kwa chama hicho baada ya kuonekana kinaanza kutrend kuelekea uchaguzi ?
Je, unafikiri CCM watakubali chama...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya...
"Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuzindua Ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025-2030 baada ya inayotekelezwa kwa sasa kuelekea ukingoni.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ni Rais wa...
Tujikumbushe kidogo ahadi 10 za wana CCM kwa chama chao. Zamani za Mwl. Nyerere kabla ya kupata kadi, wana CCM walitakiwa kuhitimu kwanza darasa la itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea. Siku ya...
Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Prophet Malisa akifanya mahojiano...
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Neema Lugangira, ametamani Ilani ijayo ya chama hicho izingatie kwa kina maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya Akili Mnemba...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni...
Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama...
Matukio katika picha, uzinduzi wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kaskazini leo tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha.
Comment ziwe fupi fupi. CCM nawapa Ruhusa kuonesha hasira zenu. Temeni...
Kama kawaida Chadema ilianza kwa Sala za Mashehe na Maaskofu ili kuweka Ulinzi wa Mungu.
Pichani ni Baba Askofu Mwamakula akiondoa nuksi Jukwaani
Baada ya Dua kishindo cha Elimu kikaendelea...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu amemshauri Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Hamad Abdallah kuanzisha 'Nyumba za bei nafuu' na kuziita...
Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa...
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel...
Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zazibar Othman Masoud Othman anaeleza kuwa
"Kwenye Tume ya Haki Jinai nilipendekeza Polisi wasiongozwe na wanasiasa. Inakuwaje Polisi...
Wakuu
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa ataendelea kuhamasisha bila hofu wananchi wawashughulikie wezi wa kura kama wanavyowashughulikia wezi wengine kwenye jamii ili haki ya...
Wakuu,
Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika!
Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure.
===============...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Njombe imetoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuhakikisha michakato ya uchaguzi wa ndani inafanyika kwa uhuru na haki, ili kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.