Katika vitabu vya historia ya siasa, kuna sura ambazo huandikwa kwa wino wa aibu na masikitiko. Hii ni moja ya hizo. Ni simulizi ya mwanasiasa aliyejivika joho la mkombozi, akawaahidi wanachama wa...
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho.
Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa Ilani ya CCM 2025 ameonya wale watu ambao wanaenda majimboni na kuanza kusema kuwa wametumwa na Rais Samia pamoja na Mwinyi ili waweze kupitishwa...
1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni.
2. Kujengwa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa katika kulinda mafanikio makubwa yaliopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya...
Leo nimeikumbuka kauli ya aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA aliyeko Korokoroni Tundu Lissu ambaye alisema wajibu wa kikatiba wa bunge ni kuisimamia na...
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na...
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya...
Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida akiongea hivi karibuni kwenye mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ameendelea kushikilia msimamo wake wa kufungia mtandao wa X ambao aliutoa miezi kadhaa iliyopita...
Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu!
Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
Ujumbe wote usikilize
Anasema, akisema kitu habahatishi. Ametumwa kuibadilisha nchi hii! Kwasasa mnaniona kama mchelemchele wa kwenye TV ambayo dish lake lililoyumba. Baadae mtanielewa
Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 amewasilisha ripoti ya Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka...
Ukilazimisha kutafsiri kienyeji kwamba maana yake ni Hakuna mabadiliko hakuna Uchaguzi unaweza kutiwa matatani kwa sababu kwenye Katiba hakuna kifungu cha kuzuia Uchaguzi
Kwahiyo No Reform No...
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha ukomavu wa kisiasa, huku ikimuomba kwa heshima asamehe kauli za...
Kuna taarifa zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia jukwaa maarufu la JamiiForums, zikidai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhanga Mpina, anapanga...
"Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda...
Hawa Wahuni hamna asojua walichokua wanakifanya kuandikisha Watoto wa Sekondari !!.
Sasa leo mpenda Uongozi aloupata Uongozi Kwa Bahati, Kaja na Tangazo .
Iko hivi CCM wangekua na Wanachama hao...
Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.