Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu utaratibu ni mbaya na una dosari nyingi sana. Kama kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ana kadi yake ya kupigia kura sasa kwa nini katika uchaguzi huu ingependeza kila...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Ushiriki wa vijana wa kike kwenye uchaguzi nchini Tanzania ni suala muhimu katika kuimarisha demokrasia na kuhakikisha uwakilishi sawa. Vijana wa kike wanakumbwa na changamoto nyingi, kama vile...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Vurugu zimezuka kura za maoni Uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi mtaa wa Mwanga mkoani Kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na...
3 Reactions
10 Replies
875 Views
Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Duniani kote hakuna kitu kinachoogopwa na serikali dhalimu kama idadi kubwa ya wapiga kura. Baada ya Tume inayosimamia uchaguzi TAMISEMI kudanganya idadi halisi ya waliojiandikisha, kazi iliyo...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa umefanywa ‘kihuni sana’ hapa Songea Moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona katika mchakato wa Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari...
1 Reactions
5 Replies
763 Views
Kata ya Msigani inapatikana Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Kata hii inajumla ya Mitaa mitano ambayo ni Mtaa wa Msigani, Mtaa wa Temboni, Mtaa wa Malamba Mawili, Mtaa wa Msingwa na Mtaa...
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Usikubari kuwa taahira na zuzu amekuhonga elfu 10 umchague na baada ya uchaguzi ukienda ofisini anachukua elfu 2 kila unapoomba barua ya utambulisho mara ngapi unaenda kuchukua hizo barua ? hakuna...
3 Reactions
19 Replies
12K Views
Kwa takwimu za Mchengerwa watu wote wenye umri wa kupiga kura 98% wameandikishwa ambao wengi wao ni vijana. CHADEMA huwa mnajinadi kuwa chama chenu kina hazina kubwa ya vijana mnataka Mungu awape...
4 Reactions
13 Replies
577 Views
Nilitegemea Viongozi wa CHADEMA wangekuwa busy kujipanga na uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kumbe nilikosea Sana wao wako busy kuzusha Uwongo Kwamba Kura za maoni CCM zinafeli kila Mtaa Hawa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas amesema ACT Wazalendo imejipanga vyema kuhakikisha wanachama wake waliotia nia kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
2 Replies
495 Views
Wakuu Kwema! Leo nimekutana na moja ya mwanasiasa kutokea chama cha Mapinduzi ( CCM ) akijipigia kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Tunafahamu kwamba CCM wametangaza ratiba za...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Hali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda ni mmoja kati ya washiriki katika zoezi la kupiga kura za maoni kuchagua wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Naomba kuuliza kwenye huu uandikishaji wa daftari la wapiga kura ACT Wazalendo mbona hawaonekani kabisa? Naona vita kubwa kati ya CHADEMA na CCM tuu? Nimetembelea mikoa ya Geita, Kagera, Mwanza...
1 Reactions
16 Replies
689 Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito mzito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akisisitiza...
3 Reactions
7 Replies
564 Views
Baada ya zoezi la uandikishaji kukamilika na waziri wa Tamisemi kutangaza kuwa walijitokeza kujianidkisha katika taftari la kupiga kura la wakazi, na Dodoma ikitajiwa kuwa na idadi kubwa ya...
0 Reactions
5 Replies
863 Views
Ushiriki wa wanawake katika siasa kuanzia wakiwa wadogo ni hatua muhimu kuelekea kuleta usawa wa kijinsia katika uongozi na maamuzi. Wanawake wanapohimizwa kujiingiza katika siasa tangu wakiwa...
1 Reactions
15 Replies
953 Views
Vyama vya Siasa sasa vijikite kwenye kampeni makini Ili tupate viongozi Bora na Siyo Bora viongozi Sisi Wananchi tumeshakamilisha Wajibu wetu wa kujiandikisha tunasubiri Mtuuzie Sera Ili Tufanye...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa...
14 Reactions
89 Replies
3K Views
Back
Top Bottom