Kwenye hili tusameheaneni tu makada wenzangu wa chadema. Kama mshabiki wa Yanga nitashiriki uchaguzi kama injinia atatangaza nia ya ubunge, na kura ntampa pamoja na Samia. Hayo ma no reform yenu...
Tar. 15/7/2024 chama Cha kikomonisti Cha China kilifanya mkutano wake mkuu pale Bejing
Agenda kubwa ilikuwa kujadiliana kupungua Kasi ya kupanda kwa uchumi na kuzorota kwa sekta ya ujenzi...
Mbunge wa Bumbuli na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasabahi Wajumbe wa Mkutano wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo yeye pia amehudhuria Mkutano huo Maalumu.
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani...
Huwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona.
Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema wapo baadhi ya wabunge wamezidiwa na vyeo vyao na kuchukulia poa’ mamlaka ya...
Mh Gwajima, kwako wee Ubunge sio kitu, Maisha ulikua nayo makubwa hata kabla ya kua Mbunge.
Tofauti na Matajiri wanaingia CCM kua Wabunge ili wakwepe Kodi , Sikuoni wewe ni wa aina hiyo!!.
Mungu...
Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Mkutano Mkuu wa chama hicho kwa kutoa wito wa mshikamano na umoja miongoni mwa wanachama kuelekea kipindi cha...
Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025.
Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia...
MBUNGE TOUFIQ TURKY: UKIWA YATIMA AU MJANE JIMBO LA MPENDAE UNALIPWA POSHO
Mbunge wa Jimbo la Mpendae Toufiq Turky amesema bado ana nia ya kuendelea kuwa mbunge wa Jimbo hilo kutokana na...
Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya...
Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale...
Katika vitabu vya historia ya siasa, kuna sura ambazo huandikwa kwa wino wa aibu na masikitiko. Hii ni moja ya hizo. Ni simulizi ya mwanasiasa aliyejivika joho la mkombozi, akawaahidi wanachama wa...
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho.
Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa Ilani ya CCM 2025 ameonya wale watu ambao wanaenda majimboni na kuanza kusema kuwa wametumwa na Rais Samia pamoja na Mwinyi ili waweze kupitishwa...
1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni.
2. Kujengwa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa katika kulinda mafanikio makubwa yaliopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya...
Leo nimeikumbuka kauli ya aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA aliyeko Korokoroni Tundu Lissu ambaye alisema wajibu wa kikatiba wa bunge ni kuisimamia na...
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.