Wakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?
"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao...
Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuchangia.
Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700.
Tunawaomba...
Wakili wa Kujitegemea na kada wa Chama cha ACT Wazalendo Peter Madeleka leo, Jumamosi Mei 31.2025 amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Ubunge wa jimbo la...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa wajumbe wanane wa sekretarieti na kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliothibitishwa na Baraza Kuu la chama hicho...
Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa!
MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana...
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza...
Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba :
1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika.
2...
Kundi la Waasi toka Chadema aka G55 likiongozwa na John Mrema, Salum Mwalim, Benson Kigaila na mataperi wenzao hatimaye wamemvunja moyo mfadhili wao CCM.
Waliwaaminisha CCM kuwa wao ndio walikuwa...
Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na...
Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30...
"Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria...
Wakuu
Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Akson ametiririsha sifa lukuki kwa Rais Samia akisema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine...
Wakuu
Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
Wakuu,
Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria Zakaria Obad akizungumza katika mkutano wa chama hicho jijini Mwanza ambao umewakutanisha viongozi na wanachama wa wilaya za Ilemela na Nyamagana...
MBUNGE wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga (Jah People) anatarajiwa kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Wilayani Njombe, kufuatia tuhuma za kutoa...
Wakuu,
Wataalamu wa mambo huyu jamaa hapa atakuwa ameokota kama kiasi gani hivi?
Naombeni pia kueleweshwa, hii TAKUKURU hawaweizi kuiona kama rushwa? Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi?
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na...
Tazama picha hawa ACT wazalendo wanachokutana nacho kutoka kwa wananchi ni aibu tupu.
ACT wazalendo mnatakiwa kuchora ramani zenu za siasa upya watanzania hawaelewi mnapigania nini.
Chauma wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.