Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwasote maarufu ‘China’, amesimulia mkasa mzito uliomfika akieleza jinsi alivyotwaliwa katika mazingira ya...
2 Reactions
9 Replies
294 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa...
11 Reactions
28 Replies
540 Views
  • Featured
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 07, 2026, amezindua rasmi Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia...
25 Reactions
176 Replies
4K Views
Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda...
12 Reactions
79 Replies
955 Views
Tumsifu Yesu Kristo Ma - Baba Askofu wetu wa TEC! Nawaandikia haya kama mshirika na muumuni mwaminifu wa kanisa Katoliki ambaye ni muathirika wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali...
7 Reactions
41 Replies
573 Views
Aliyekuwa Mgombea Urais 2025 na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema aliyekuwa nyuma ya vikwazo alivyokutana navyo katika mchakato wa uchaguzi ndiye “aliyeishiwa pawa”...
0 Reactions
3 Replies
156 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema matukio yaliyotokea Oktoba 29 yalihusisha watu waliohamasishwa kuingia barabarani baada ya kupewa kilevi. Katambi amesema baadhi ya...
0 Reactions
46 Replies
858 Views
Aliyeshinda kapewa aliyeshindwa kasema asante’ "Jambo jingine ninalotaka kuzungumza ninyi ni kulinda amani na utulivu wa nchi yetu. Nawapongeza na kuwasalimu Wazanzibari mwaka huu. Tumefanya...
2 Reactions
20 Replies
530 Views
Samia ameunda tume huku akimteua Jaji Barishaki Cheborian wa Uganda kuwa mmoja wa tume hiyo kuchunguza chanzo cha vurugu. Soma PostGE2025 - Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka...
8 Reactions
45 Replies
453 Views
Mtangazaji (Rausath Sued):"Tumeona Rais amezindua tume ikachunguze wale waliohusika na yale matukio yaliyotokea tarehe 29. Kwa unavyona, hii tume iliyoundwa na Rais ni tume ya kijaji kama...
2 Reactions
1 Replies
87 Views
Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) kimekataa rasmi kuitambua Tume ya Rais iliyoundwa kuchunguza matukio ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kikisisitiza kuwa...
18 Reactions
38 Replies
554 Views
Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye ili kulinda kiti dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa. RIP Polepole. Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi...
23 Reactions
26 Replies
520 Views
Kwa wanaojua uchafu wa CCM na mwenyekiti wake, waliomuona rais Samia akitangaza kuundwa kwa jopo litakaloongozwa na majaji wawili mmoja toka Namibia na mwingine Uganda, atakuwa ameshangaa na...
10 Reactions
15 Replies
259 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya...
1 Reactions
14 Replies
278 Views
Vyombo vya habari Namibia ikiwepo Shirika la Utangazaji Namibia (NBC) vimeripoti taarifa ya Naibu Jaji Mkuu wa Namibia kuombwa na Tanzania kujiunga katika Tume ya Uchunguzi Tanzania Naibu Jaji...
6 Reactions
23 Replies
615 Views
Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe. Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa. Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za...
15 Reactions
14 Replies
346 Views
ACT Wazalendo imepokea taarifa ya Serikali kuhusu kuundwa kwa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Pamoja na kutambua umuhimu wa kuwapo...
6 Reactions
9 Replies
143 Views
Ameandika Dr. Godbless Charles Uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa Namibia, Jaji Petrus Damaseb, kuwa mjumbe wa Tume ya Rais wa Tanzania ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyotokea kabla na baada ya...
9 Reactions
13 Replies
371 Views
Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta...
17 Reactions
31 Replies
447 Views
Namshangaa Samia na matume yake. Tume ya CHANDE ilimwambia vijana walilipwa ili waandamane, walilipwa ili wachome nchi , hao vijana zaidi ya elfu 2 ameshawaua na yeye ndo alitoa amri watu wauwawe...
2 Reactions
10 Replies
166 Views
Back
Top Bottom