Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni...
"Mtia nia wa mtaa wa Mji Mpya uliyopo kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba amekatwa kwa sababu tu aliandika kazi ni mjasiriamali, hivi kwani jamani ujasiriamali siyo kazi? Kwenye mtaa huu ameteuliwa...
Ni vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa...
WAGOMBEA 30 wa nafasi Uenyekiti kupitia Chama cha Wananchi( CUF) katika Wilaya ya Kinondoni wameenguliwa kugombea nafasi hiyo kwa madai ya kushindwa kujaza anuani kwenye fomu za kugombea.
Nipashe...
Kutokana na sintofahamu zinazoendelea nchini za kibaguzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, Nina ombi moja kwa Viongozi wa serikali na chama Cha CCM wafanye jambo moja ili tuondokane na hii...
Wakuu,
Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.
Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X;
"Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha...
Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na...
Wakuu
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko...
Wakuu,
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana...
Wakuu,
Moto unazidi kufuka.
====
"Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo.
"Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri...
Wakuu,
Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale.
====
CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika...
Chama cha ACT Wazalendo kimejiandaa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa kuhakikisha tuna wagombea wa kutosha. Taarifa tunazozipokea zinaonesha kuna hujuma kubwa...
MAKALLA AMPONGEZA LISSU KUKIRI CHADEMA HAINA WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amoss Makala amesema Chama hicho Kipo tayari na...
Wakuu,
Tunazidi kulisogelea jambo letu 2025, tushiriki kwa umoja wetu katika uchaguzi wa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kuhakikisha tunapata viongozi bora.
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Michael...
Matukio ya wagombea kudaiwa kutoa rushwa, kukosekana kwa elimu ya uchaguzi na kutoaminiwa kwa baadhi ya wagombea na wananchi, kumechangia ushiriki hafifu wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu...
Katika kampeni nyingi za kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kuona wanawake wakichukuliwa kama wapambe wa wagombea badala ya kuwa wagombeaji wenyewe. Wanawake wamekuwa wakipewa majukumu ya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki...
▪️Kukutana na Mabalozi zaidi ya 2000
▪️Mabalozi wagawiwa vitendea kazi
▪️Mwenyekiti Mamba awataka kuhimiza wanaCCM kushiriki uchaguzi
▪️Mbunge Mavunde awahimiza kuhakikisha ushindi wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.