Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume ya uchaguzi imesema umeshinda asilimia 98 sawa na watu milioni 32 sasa wasiokupenda ni nusu ambayo ni watoto, vijana ambao wajafikisha umri wa kwenye uchaguzi. Mfungeni kamba jamani.
7 Reactions
18 Replies
504 Views
Mwanza hongereni sana sana kwa kazi nzuri, Nimesikia na tumeona leo kupitia ITV mmekamata mali nyingi sana zilizokamatwa za wizi wa kwenye tukio la tarehe 29 october 1. mmepata ATM mashine 2 ...
2 Reactions
67 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi ni lini Serikali itakuja kukubali hizi propaganda za kuchukua a certain section of a certain demographics na kuwarekodi in a video kupush agenda kwamba hiyo mbinu sasa hivi haifanyi...
0 Reactions
8 Replies
378 Views
Wazee wa Mila Wilayani Serengeti, Mkoani Mara, wametoa onyo kali kwa Kijana yeyote atakayeshiriki maandamano, wakisema atatalaniwa na kutengwa na koo yake Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
1 Reactions
22 Replies
553 Views
Taasisi ya Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wake Bw. Geofrey Kiliba imelaani Vikali matukio ya uvunjifu wa amani yaliyofanyika wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa...
1 Reactions
7 Replies
328 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga, ametoa wito kwa Vijana wanaojihusisha na shughuli za bodaboda kutojihusisha au kushawishiwa kuingia kwenye maandamano yasiyo halali...
0 Reactions
3 Replies
182 Views
Yericko Nyerere unasema Samia hajavunja Katiba Je, katiba inamuelekeza kuuwa raia wake?, Je, Katiba inamuelekeza kukaa kimya juu ya utekaji? Je, hiyo Katiba inasemaje kuhusu haki ya Maandamano...
0 Reactions
10 Replies
305 Views
Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa mwandishi wa chombo kikubwa cha habari kama CNN hawezi kuandaa makala kwa kukusanya...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri...
9 Reactions
26 Replies
871 Views
Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu...
6 Reactions
20 Replies
805 Views
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya...
0 Reactions
23 Replies
985 Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima mwasisi wa...
3 Reactions
41 Replies
814 Views
Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience"...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Wanatakangaza amani huku wameficha mapanga.. Maridhiano which? What? Vijana which? Soka sio kijana? Mdude sio kijana? Pole pole sio kijana? Makanisa ya Gwajima hayana vijana? Maridhiano which...
12 Reactions
18 Replies
515 Views
Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia. Baraza...
25 Reactions
91 Replies
2K Views
Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku. Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia...
7 Reactions
17 Replies
496 Views
Wakuu, Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7...
1 Reactions
10 Replies
379 Views
Samia, Ndani kwenu mna makundi !. Makundi mengine upo nayo ila yanakurahisishia Anguko lako. Nimepatwa na Hisia, Ndani yenu, kuna watu wanataka KUMUUA KITIMA ili wachoxhee anguko lako...
16 Reactions
35 Replies
1K Views
Back
Top Bottom